Natumia nokia 2323c mwanzo nilikuwa na operamin nilikuwa nimedownload ikafika wakat iliacha kufunguka ila kwa sasa najaribu kudownload nyingne haitaki kabisa.

ya mwanzo ilikuwa hairespond chochote nikadelete kwa saiz ninapodowload inaniletea had sehem ya file kwamba lina ukubwa flan ila nikipiga ok kwajili ya kudownload hairespond hadi mwisho!