Jaji Mutungi kuapishwa leo

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,476
Reaction score
949
Jaji Francis S.Mutungi aliyeteuliwa na Rais kuwa msajili wa vyama vya siasa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Tendwa,ataapishwa leo,,,nitajitahidi kama nikiweza kuwawekea picha toka tukioni,,,
 
ukiwa nae mwambie afanye kazi ya watanzania siyo ya ccm..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…