Moja ya taarifa ktk gazeti la mwananchi la leo trh 19/07/2012 inaonyesha kuwa aliekuwa katibu mkuu wa wizra ya nishati na madini David Jairo atafikishwa mahakamani.
Habari zaidi soma gazeti husika.
Moja ya taarifa ktk gazeti la mwananchi la leo trh 19/07/2012 inaonyesha kuwa aliekuwa katibu mkuu wa wizra ya nishati na madini David Jairo atafikishwa mahakamani.
Habari zaidi soma gazeti husika.
Hapo ni picha nyingine inaanza, sasa wanataka kumsafisha na kumlipa mamilioni/bilioni ya shilingi za umma, hii itaishia kama ya Zombe, Vijisenti n.k Wajinga ndio waliwao. Baada ya kusafishwa na mahakama atapewa Ubalozi kama kawaida yetu. Bi Kirobo ameshaifukia suala lenyewe Bungeni, Watanzania wameshasau!!!, Huu ndio uzuri wa watanzania. Bravo Watanzania tujipongeze:israel: