Mkeshahoi, nimekisikiliza kipindi, huna haja kuwa bored, mjadala ulikuwa mzuri na umeshiba hoja.Punde kidogo nlikuwa nasikilizaJahazi... Kayanda anabishana na Kibonde kushusu udhaifu wa watz unasababishwa na kutojua kiingerea au lugha kubwa... Mwenzake anashikilia muhimu ni uwezo na si kujua lugha!!!
mY TaKE: kwa mujibu wa 'ligi yao'..Kayanda has bored me stiff...astahili kuendesha vipindi vya show tym na ma-toz wenzake!!!
Kibonde kabadilika!!! labda!Mkeshahoi, nimekisikiliza kipindi, huna haja kuwa bored, mjadala ulikuwa mzuri na umeshiba hoja.
Kwa kuanzia, nampongeza sana Kibonde, kusema ukweli amebadilika sana katika kipindi kifupi. Sasa anaonekana a really mature person na sio zile enzi za yale maroroso yake akiweka jokes karibu kwenye kila issue.
Mjadala ulihusu makampuni makubwa na haswa ya kigeni, kuwaajiri zaidi wageni kisa wana jua zaidi kuzungumza kiingereza ili hali wengine hata kazi hawawezi na wanafanyiwa na watz waliochini yao.
Hoja ya Kibonde ni uwezo wa kazi na sio lugha, akasema Watanzania wana uwezo mkubwa, tatizo ni kutojiamini tuu kwenye lugha ya Kiingereza, na akashikilia kwani Kiingereza lazima?.
Hoja ya Kayanda, waajiri wanataka watu wenye uwezo kuwasiliana kwa lugha ya kimataifa, Kiingereza, kwa vile WaTZ hawajiamini, amewakubali waKenya wanauwezo.
Kipindi hiki ni Kibonde ameshuka nondo mpaka akakasirika, amesisitiza jiamini una uwezo wa kufanya mambo, fanya mambo, jithaminishe thamani yako, jiaminishe value yako, panga bei ya huduma yako watalipia kwa thamani yako, akasisitiza tusijishushe.
Katavi, ni kweli kijana kabadilika, he is more machure person now than hapo nyuma. Naamini hii forum imesaidia kurekebisha mambo, ingawa aliiponda sana JF kwenye kipindi chake, ujumbe ulifika, he is a changed person, Ephraim Kibonde sasa ni jina tuu sio 'kibonde' tena.Kibonde kabadilika!!! labda!
Katavi, ni kweli kijana kabadilika, he is more machure person now than hapo nyuma. Naamini hii forum imesaidia kurekebisha mambo, ingawa aliiponda sana JF kwenye kipindi chake, ujumbe ulifika, he is a changed person, Ephraim Kibonde sasa ni jina tuu sio 'kibonde' tena.
Katavi, ni kweli kijana kabadilika, he is more machure person now than hapo nyuma. Naamini hii forum imesaidia kurekebisha mambo, ingawa aliiponda sana JF kwenye kipindi chake, ujumbe ulifika, he is a changed person, Ephraim Kibonde sasa ni jina tuu sio 'kibonde' tena.