iwatch

Hakuna kitu kinaitwa iWatch bado, hiyo picha ni ya iPod Nano Ya mwaka 2010, iWatch inazungumzwa kuwa inategemewa kutoka mwaka huu lakini Apple hawakutangaza rasmi.
 
Hakuna kitu kinaitwa iWatch bado, hiyo picha ni ya iPod Nano Ya mwaka 2010, iWatch inazungumzwa kuwa inategemewa kutoka mwaka huu lakini Apple hawakutangaza rasmi.

Hizi picha zote ni feki, hakuna kitu kinaitwa iWatch, nenda kwenye official Apple webiste ninakuhakikishia kuwa hutakuta hii. Hata ukiangalia hizo saa zote zinatofautiana, sasa hujiulizi hiyo iWatch ni saa ni kinyonga? Hata kinyonga anabadilika rangi lakini habadiliki umbile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…