Iwafikie wanawake wenye hasira.

KUUCHUNA NDIO KUNUNA HUKO MAMDOGO
Maneno ni sawa lakini nilichomaanisha hapa ni kwamba, mtu mwenye tabia,ya kunununa huwa ananuna ili abembelezwe au tu ajiweke mbali na kuepuka interaction na yule aliyemkosea lakini bado anamhitaji. Kwangu ni tofauti, siwezi kumnunia muda mrefu mtu ambae bado namhitaji, nikiamua kuuchuna ile seriously ujue ndio nimeaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaa basi sawaa
 
Ni tabu sana na ni ngumu sana kuishi katika ya aina hiyo,,inahitaji nguvu ya Mungu na utulivu zaidi wa moyo,,,,inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…