Iwafikie wanawake wenye hasira.

Kuna wanaume ambao ukiwa very humble ndio wanaanza kukufanyia kila aina ya ujinga. Hiyo yote kwa kua ni mpole tu.
 
Message sent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread nzuri Sana hii jamani
Mimi kuzuia Shari huwa naamua kukaa kimya kwa kitambo kidogo,nalia wee...maana hasira zangu sio poa...zikinikamata siwez control maneno ya kuyatoa

Ila namshukuru Mungu Sina hasira za miaka na miaka..Leo zipo kesho zishapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,we jamaa unafaa kuwa mchungaji.au ni mchungaj tayar?
 
Kuna ka ukweli kwa asilimia 99. Wanaume wengi huwa hatupendi wanawake wa sampuli hii, Japo hasira zao hutokana na matendo ya wanaume. Wale Wanawake wanaoweza kujishusha na kunyenyekea kwa wanaume huwa wanadumu sana kwenye Ndoa zao.
 
Naona wengi wamepona kwa huu uzi


Sent from my SM using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…