Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 76
Ni vigumu ku-generalise kuhusu Watanzania wote. Mawazo yangu ni kwamba given the general level of knowledge/education (or lack of it) ya Watanzania ni watanzania wachache wenye uelewa wa kutosha kuhusu evolution. Evolution kama ilivyohubiriwa na wazungu kwenye karne ya 18 na 19 ni combination of scientific observation and racial bigotry. Ni kwa kutumia imani zao hizo za kibaguzi ambazo walizihalalisha kwa kutumia nadharia za evolution waliweza kuhalalisha ukoloni na mauaji ya kimbali kwa mataifa mbali mbali. Eti wanaeneza ustaarabu. Vile vile itikadi za baaade kama za Hitler wa Ujerumani na Manazi wenzake zilikuwa zinajihalalisha kwa kutumia hizo nadharia za evolution. Mpaka leo bado wapo watu wenye mawazo hayo, mmoja wao ni Prof. James Watson, mgunduzi wa DNA, ambaye alikuwa anahubiri kuwa science itatoa ushahidi kuwa waafrika wana akili finyu kulinganisha na Wazungu. Lakini juzi juzi ameumbuka baada ya DNA profile yake kuonyesha kuwa ana asili ya Kiafrika kwenye kizazi chake. Niongeze tu kuwa kama una imani kali ya dini utakuwa na taabu kuamini evolution kwa sababu ni mambo mawili yanayopingana. Dini inasema kuwa maisha yaliaanza at a certain point in time kwa amri ya mungu. Ni vigumu kueleza kwa umahiri time and space hiyo amri ilipotolewa na Mungu. On the other hand, evolution theory nayo haituelezi time and space hiyo evolution ilipoanzia. Hapo unaelekea kwenye bing bang theory. Kazi ipo.Naombeni msaada wa mawazo kidogo jamani, najua humu kwenye sayansi kutakuwa tuu na rational thinkers.. I know for a fact that most of the contributers in this forum are Tanzanians and people with interest in the region but to a greater extent the former.. I wanted to find out the general opinion regarding evolution. Do Tanzanians who know about the theory of evolution believe it, discount it or are not sure?
Naombeni msaada wa mawazo kidogo jamani, najua humu kwenye sayansi kutakuwa tuu na rational thinkers.. I know for a fact that most of the contributers in this forum are Tanzanians and people with interest in the region but to a greater extent the former.. I wanted to find out the general opinion regarding evolution. Do Tanzanians who know about the theory of evolution believe it, discount it or are not sure?

What are you on about an article ya 1997. Mi naongelea findings za 2010. And for that matter you have not responded to my other exhibits on the evolutionary steps of humans, fossil records to be exact. Au wamefoji?lol The creationist theory has little evidence other than theology which by and large fails to even speak of extinct creatures and obviously has no idea about dinosaurs or any other creatures that predated humans and were long gone when we came. Unless your saying the world is below 5000 years old?lol
If you realy want to go step by step,
I will suggest to start at the beginning of life. As we all know that evolution still fails to tell us how life began!
Ndio maana nikauliza, Hivi jicho lili evolve kutokea nini? Evolution, at all time imekuwa inazungumzia maoneo na mabadiliko ya nje!!
I have ever come accross an evolutionist aniambie, Je, moyo uli evolve kutokea nini na/au kitu gani na/au wapi? Wako bize kuzungumzia mwili wa nje! Inashangaza hata wewe hulioni hilo!!
Sasa turudi kwenye mada yako, na tujiuluze maswali kadhaa:
Hivi Jicho kabla ya kuwa jicho, lilikuwa kitu gani na lina umbo gani na jina gani? Nipe transitioning ya evolution ya JICHO.
Moyo wako, kabla ya kuwa moyo, ulikuwa kitugani na/au una umbo gani na/au unaitwa nini? Niletee transitioning yake.
Ndio maana nilisema, hivi LIFE ilianza wapi? Kwanini inashindikana kujibu hili swali?
Mwisho, kama ulisoma post yangu kwa makini, nilisema, nitazungumzia mengine uliyo sema muda si mrefu. Kwanini nilisema hivyo? Ni kwasababau, huwezi kuzungumzia mwili wa binadamu na jinsi ulivyo complex kwa kutumia mistari na/au paragraph moja, mbili au tatu. Hapo tutakuwa tunadanganyana.
Sasa consider my question, na uone ni jinsi gani evolution inajibu na kama evolution itaweza kujibu:
Hivi Jicho kabla ya kuwa jicho, lilikuwa kitu gani na lina umbo gani na jina gani?
Moyo wako, kabla ya kuwa moyo, ulikuwa kitugani na una umbo gani na unaitwa nini?
Ndio maana nilisema, hivi LIFE ilianza wapi?
Kuna maswali mengi sana ambayo kama nikiweka hapa, yatasababisha mtafaruku. Why? Because, maswali hayo, huwa hayajibiki. I am not trying to be affirmative, but, I want us to see the truth kwa kupitia maswali and lets face the facts through questions.
Please respond to my questions, if you can. Ukishindwa, it is ok, wewe si wa kwanza kushindwa kujibu maswali.
Naombeni msaada wa mawazo kidogo jamani, najua humu kwenye sayansi kutakuwa tuu na rational thinkers.. I know for a fact that most of the contributers in this forum are Tanzanians and people with interest in the region but to a greater extent the former.. I wanted to find out the general opinion regarding evolution. Do Tanzanians who know about the theory of evolution believe it, discount it or are not sure?
Huchoki na haya mawazo yako potofu? Ijue kweli (YESU KRISTO) nayo itakuweka huru.