Ivanka Trump ni kisu!

Sio kisu kabisa yani mkuu!
 
Sijaona kisu hapo, ila nimegundua watu tunatofautiana sana aiseeeee....
 
La kushoto limebanwa sana ukiangalia picha
 
Maziwa makubwa unaweza ombea mkopo bacrays na ukapewa.
 
Nyonyo la kushoto ni kubwa kuliko la kulia.
Hahahahha kwa hiyo ukiwa unaangalia tv/picha ukaona watu wa mbele ni wakubwa kuliko wa nyuma huwa unaamini wako hivyo katika uhalisia??
Kwa kukusaidia tu object huwa inapungua size kadri inavyokua mbali na kamera and vice versa.
 
Mkuu hiyo theory naielewa sana wakati mwingine hapa tunaburudisha jukwaa kupunguziana stress. Yote kwa yote asante kwa somo kwa niaba ya wale ambao walikuwa hawafahamu
 
Ziwa hilo linahusika akiwa per.......
 
Tumetofautian mnoo, kwangu hana ukisu wowote!!
 
Hvyo vitundu kwenye pua anahema vizuri kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…