Iv kwanini Simba SC hakuishi migogoro,Ushahidi vigenge Msimbazi complex

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Swalama,
Miaka nenda miaka rudi nje ya jengo la Simba lililopo msimbazi kariakoo halikosi vigenge vikijadili Simba yao ilokosa makombe asubuhi asubuhi,Niwaulize wana simba hamna kazi za kufanya mapema yote hii.
Hizo pic hapo chini ni vigenge vikijadili ni namna gani Mo kachukua club.
Ama kweli wanasimba stress za Makombe zinawatafuna
Karibuni Jangwani,raha mustarehe.
View attachment 643687
IMG_20171204_091633.jpg
IMG_20171204_091713.jpg
IMG_20171204_091709.jpg
 

Attachments

  • IMG_20171204_091633.jpg
    IMG_20171204_091633.jpg
    45 KB · Views: 49
Back
Top Bottom