Mi nilidhani ni kwangu tu. Yaani ni mikwaruzo mwanzo mwisho
Hebu kaka nisaidie hizi antena zao zinapatikana wapi mtaani ama ni mpaka uende kijitonyama kwenye ofisi zao?
kaka we acha tu yaani morogoro mwezi wa nne huu startv haipatikani mwezi wa pili itv na eatv patupu mpaka zimejifuta nimeamua kujisalimisha kwenye dishi yaani staataimuz majangaaaaamimi nilisha choka itv sipati, star tv sipati zina kwaluza kichizi yan sijui ccm na serikali yake ni uchafu gan huu walituletea jamani