ITV Supper bland

TGInnocent

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
1,088
Reaction score
583
Hebu wafanyakazi wa ITV najua hamkosekani humu jamvini mniambie hii supper brand title mliipata zamani bado inaendelea? Leo Alhamisi tar 2 saa 5.30 asubuhi, nimeshangaa vipindi vya capital tv vimeingiliana na vya itv bila hata maelezo. Program iliyo kuwa ikiendelea ilikuwa ni marudio ya film ya kikorea mara ikaingia CNN news (wala sio breaking news) halafu sasa tena saa 5.38 inaendelea tena hiyo film. Kichekesho kwelikweli hii nchi.

labda niunganishe na sister tv yenu ya capital tv, jitahidini zile ndondi mnazozirusha nunueni mikanda mingine basi, kila siku Kevin Pompey!?
 
supper bland????!!!!###$$$&&&***@@@
 
Hakuna kitu kinaitwa bland........hivyo hueleweki........

Lugha za watu dada, ila kama ni muhusika nadhani salamu zitakuwa zimewafikia na mtafanya marekebisho stahiki. Msimwangushe Mr. Mengi kwa kuwatafutia ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…