Taarifa ya habari ya Leo 8/7/2017, wakati wa Habari za Michezo hususani habari kuhusu UCHAGUZI WA SOKA LA WANAWAKE TANZANIA. Wakati msimazi wa Uchaguzi akiongea nimeona Mende nyuma ya muongeaje akiranda randa mlangoni.
Jama, Inzi, mbu, mende, sisimizi, mijusi, kunguru, ndege hawa ni viumbe ambao hutegemea riziki kutoka kwa binadamu. Nadhani ungeona Simba, au Chui, au Tembo kakatiza, hiyo nadhani ingekuwa habari.
Mbona kukuta uchafu barabarani sio habari?