Kumbe wanamaind pia sasa kwanini hawa jamaa wanaendelea TV za Kenya sijawahi ona mipicha yenye captioning ya media za nje...wabadilike sasahuoni kwamba logo ya BBC imefichwa nyuma ya graphics za ITV hapo chini? hizo ni picha za bbc na zina logo yake imefichwa na graphics. na bbc hawapendi kweli uduanzi kama huo.
Kumbe wanamaind pia sasa kwanini hawa jamaa wanaendelea TV za Kenya sijawahi ona mipicha yenye captioning ya media za nje...wabadilike sasa
Hizo exclusive videos zinauzwa AFP ndio wanaoyauzia mashirika mengi ya habari picha kuanzia za mnato,video na graphic images...ndio maana magazeti kv mwananchi unaona wanaandika picha courtesy ya AFP https://www.afpforum.com/afoimages/index.html?mui=3ndo hivo mkuu bado jamaa wanagongea video na logo, hawanunui. Mpaka sasa kwa tanzania tv stations zinazopewa exclusive footages bila logo na caption ni Azam TV 2 na TV1 Habari.