1. Polisi wanapiga wanahabari kila siku hivyo hawana tija kuwakatia mawasiliano nisawa kabisa.
2. Kinachouza habari ni siasa huu nimwaka wa uchaguzi lazima watu waelimishwe vema.
3. Ujambazi wizi na ufisadi unaripotiwa kila siku mmechukuwa hatuagan? Escrow, Gama huko kilimanjaro,nk
4. Uharamia na unyanyasaji wa polisi kila siku
-Juzi polisi walikamata Salum Mwalim huko mufindi
Juzi polisi walikanata cdm huko mafia
- jana polisi Singida wamepiga raia, maji yakuwasha na mabom
-Leo gongo lamboto, polisi wamepiga wanafunzi, maji yakuwasha na mabom juu-KAMPALA UNIVERSITY
UNATAKA WATANGAZE NINI?