ITV, hii ni dharau kwa timu ya taifa!

Mkuu, mie naweza siasa lakini sipendi kufanya siasa. Sijamaanisha hivyo
Huna lolote wewe ni gamba na unataka kutuiga makamanda tulivyopiga chini kuangalia li tv lenu la kinafiki TBCCM...kama vp sepa tu urudi kwenu tbcmagamba!!!!
 
Nakubaliana na wewe. Kwa observation yangu, JK Kujibu vile ni kumkomoa mwandishi tu. JK Huwa hataki pressure kwa jinsi ninavyomuona. Mfano, wakati jamaa wapo bizze wanahaha kuwa ccm inakufa na wanamsihi kama mwenyekiti afanye jambo, yeye alisema, watakufa wao na ccm wataiacha, La waandishi kuchangia upo sahihi ni moha ya sababu
 
Lete bolada zamana ctstaz 2sha choshwa na gtaa zao.
 
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.

Hey man! Please, be respectful. Ni Messi sio mess

Au umetumwa na Kristina Renalda nini? Yule anayevaa heleni
 
tatizo timu ya taifa ina uccm ndan yke ndio maana haitakiwi kutangazwa hapa itv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…