Ni mada mbili tofauti,na huyo kakangu ndo aliyenisomesha mpaka hayo mafanikio yote hayo nimefanikiwa kwa msaada wake kwangu,ila kwa hali kama hii inaumiza hata ungekuwa wewe mkuuUtaweza kweli kufungua kituo cha mafuta wewe?
Ninaamua kitu lazima niwe na vithibitisho mkuu,natumia akili sanaAmbatanisha na vithibitisho mkuu
Yeye aseme tu ila ukweli nitafikisha na mimi roho yangu itatuliaInategemea mkuu,huyo shem anaweza kukugeuzia kibao ulikiwa unamtaka..kuwa makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi siwezi kumwambia shem,nataka nimwambia kaka ili akiamua aniite na shem kama shem atakataa nipo tayari kutoa ushahidi na wengine mpaka rafiki yake brotherKwa nn usimwambie shemeji yako kabisa live mpaka umwambie Kaka yako mchane huyo kaka ako ndo we mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa mkuuNinaamua kitu lazima niwe na vithibitisho mkuu,natumia akili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna shida kwenye ela,anayelea siyo mama wa mtoto tu,na hakuna mtoto mdogo wa kulialiaAcha ufala mkuu halafu wakiachana utafurahi watoto walelewe na baba tu au mama, mambo ya ndoa waachie wana ndoa.
Kwa nini nisimwambieKaka yako angefanya hivyo ungemwambia mkewe? Fanya yako
Sawa mkuu ila lazima nifikishe taarifaMkuu roho haitulii kama mimi vile , hadi utoe dukuduku lako,usisahau kuleta mrejesho hapa
Sent using Jamii Forums mobile app