Ndo maana kumbe
God does wonders wapo wanawake wamezalishwa watoto 6 baba tofauti ila anapata wa kwake mwenyewe.Tatizo sio kuwa single mom, tatizo ni pale unapoanza kutafuta mume wako peke yako ili ufunge naye ndoa.
Aisee, Ukiona Una mtoto tafuta tu hata mume wa mtu uendelee kujiegesha angalau hata watoto wawe na mwanaume anayeitwa baba.
Hizi hasira ni za kukataliwa lazima.
Hatuwezi kukataa, Dada zetu wamezalishwa home na wanaendelea kuzaa Ila hawana fantasy za
'I need a man of my own!!,'
Ndio Maana mama zetu walikuwa wanaamua tu kuwa wake wenza.
Akishaona kaingizwa mjini anajibanza huko huko. Anakuwa mpole tu.
Sasa nyie unatembea na mume wa mtu anakupa mimba aafu unaanza kuota mume wako peke yako!!! Tena na mimba umemtegeshea Huyo mwanaume.
Mnatakiwa kubadili namna ya kutega mingo zenu.
Wewe ni single mum?God does wonders wapo wanawake wamezalishwa watoto 6 baba tofauti ila anapata wa kwake mwenyewe.
Tatizo sio kuwa single mom, tatizo ni pale unapoanza kutafuta mume wako peke yako ili ufunge naye ndoa.
Aisee, Ukiona Una mtoto tafuta tu hata mume wa mtu uendelee kujiegesha angalau hata watoto wawe na mwanaume anayeitwa baba.
Hizi hasira ni za kukataliwa lazima.
Hatuwezi kukataa, Dada zetu wamezalishwa home na wanaendelea kuzaa Ila hawana fantasy za
'I need a man of my own!!,'
Ndio Maana mama zetu walikuwa wanaamua tu kuwa wake wenza.
Akishaona kaingizwa mjini anajibanza huko huko. Anakuwa mpole tu.
Sasa nyie unatembea na mume wa mtu anakupa mimba aafu unaanza kuota mume wako peke yako!!! Tena na mimba umemtegeshea Huyo mwanaume.
Mnatakiwa kubadili namna ya kutega mingo zenu.
single mum awe kuanzia 30s ndo atleast,hawa single mum wadogo wadogo wanazingua sana.Mimi nasema ni ushamba wengi wanadharau single mothers kama mtu asiyekuwa na thamani wkt asilimia kubwa huku wamelelewa na hao mnaowadharau au dada zenu nao wamezalishwa hapo kwenu, wengine mabosi wenu ni single mom wanawalipa mnapata ka ujeuri cha pesa, gheto mnazokaa ni nyumba ya single mom, ukija huku unaponda man something ain't ryt with u. Obama was raised by a single mum. Etc
Something tremendously wrong with your thinking. Watch out......God does wonders wapo wanawake wamezalishwa watoto 6 baba tofauti ila anapata wa kwake mwenyewe.