connymarty
Member
- Mar 8, 2014
- 14
- 2
used but in very good condition location Dar es salaam upanga 0713430829 only 17,000,000/=
Ugonjwa kivipi??Pasua kichwa hizo halafu hiyo bei ndo kabisaaa!!!
Hata ukiuza M7 hupati MTU hiyo maana hizo GARI ni ugonjwa Wa moyo!!!
Hii gari nimewahi kumiliki model ya 2001. Sasa hii ni ya 1995 hata milioni 5 hupati mtu.used but in very good condition location Dar es salaam upanga 0713430829 only 17,000,000/=
Duhused but in very good condition location Dar es salaam upanga 0713430829 only 17,000,000/=
Duh, engine ya RAV4 itaweza kusukuma huo mzigo?Nasikia kuna wataalamu wa kuondoa engine na gear box na kuweka za RAV 4 na baadaye kufutilia mbali mfumo wa TURBO ijapokuwa wanasema haitakuwa na nguvu na speed kama awali lakini angalau utapunguza safari za garage