Hari za mchana wana JF, matumaini yangu mu-wazima wa afya.
Ndugu yenu napata kigugumizi katika kuchagua aina ya gari ambayo haita nisumbua kati ya ist, toyota allex/runx au spacio new model tafadhali naomba ushauri wenu kwa wenye kuyafahamu vizur haya magari mimi sina uzowefu wowote kwasasa ndio najifunza kuendesha, tafadhali naomba kuwasilisha nikitarajia ushauri wenu wa busara.
Naishi Dar es salaam, ahsante