![]()
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapokea kwa installments?
HWewe itakuwa ni dalali. Umetumiwa sms ukaamua kuifoward hivyohivyo
Mkuu nikiwa dalali wewe unaumia vipi? Halafu dalali ningeacha namba yangu ya simu, ila hiyo hapo ni namba ya mwenye gari. Mwenye gari ni mdogo wangu ameagizia gari ingine namsaidia aiuze.
Sent from my ✂️⏳⏳iPhone using JamiiForumsa
Sawa mkuu, haina neno