Fact, yamenikuta hayo mdau na nilishaleta uzi hapa kuhusiana na hilo unalozungumzia mpaka sasa naigulia maumivu hayo hayo ya kupotoshwa kibajeti,
Kabla cjaagiza niliuliza ushuru tra wakanimbia 3,700,000/= inafika naambiwa 5.9 nilichoka.
Acha kupotosha watu rafiki. Hapa ni JF si kijwe cha kahawa hivyo ukiongea ongea fact na si maneno yasiyokuwa na kweli. Kuna watu hapa kwa taarifa hizi wanafanya maamuzi juu ya gari watakayoagiza toka nje. Sasa we kama utampotosha mtu ni 2.8 halafu gari inafika anakutana na 4M au 3.7 kulingana na exchange rate huoni utakuwa umesababisha mtu kushindwa kutoa gari yake bandarini na hatimaye kupigwa mnada/kuingia garama za storage wakati anatafuta pesa ya kujazia.
Act like a GT
Hv umenielewa kweli?
Nimekupata boss. Post yako ilikuwa sahihi, nilioverlook point yako. Samahani na nakiri hukupotosha ni kweli ukoo huo kodi yake si chini ya ni more and above 2.8M mkuu
Pamoja sana mkuu, mii niliagiza t.raum 2005, tra wakanibanjua 4.2, ktk foleni pale tra kulipia, wa mbele yng akalipa 4.9, sikutaka ht kugeuka nyuma!