Voice of Wisdom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 537
- 240
hata kama ungekua umeiingiza leo kutoka japan huwezi kuoata 10.5 kwa ist, the maxmum unapata ni 7.5
Pitia pitia show rooms ili kujua bei za magari mkuu
1.Ist 2005 bei yake C.I.F(beforward) ni $ 3000x1771 (exchange rate ya leo-BOT)=5,313, 000
2.Kodi yake tshs= 4,090,000 (TRA)
3.Registration+Road licence=320,000(TRA)
4.Port charge =240,000(TPA)
5.Delivery order $70×1771=123,970(shipping line)
6.Clearing agent fee= 250,000
Jumla=10,336,970
kama kuagiza gari kwa sasa bei hiyo na kumbuka hapo hujaweka bima na hujachora vioo na kuweka ribiti ili kuwasupress wezi wa vipuli, pia bado hujafanya service ndogo ndogo(kubadili oil, oil na air filter. Hizo ni garama za kutoa gari pale bandarini na kuagiza tu. Pia kumbuka hujapigwa longolongo za clearing agent na gari imetoka bila any extra cost.
Je kuna show room gani utakuta gari kama unavyosema ist ya 2005 chini ya 10.5 kama ulivyojinadi. Lazima itakuwa ni ist itakayokufanya uwafahamu mafundi gereji wote wa Dar/mtaani kwenu.
Come with fact as above and prove me wrong comrade
Tatizo ni kwamba mkuu huwa tunachukua maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa na kuyaamini(with no evidence) then kuyasambaza bila kujua tunapotosha umaKuna wengine wanabisha tuu lakini hawapo kwenye shughuli hizi.
6m chukua
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1.Ist 2005 bei yake C.I.F(beforward) ni $ 3000x1771 (exchange rate ya leo-BOT)=5,313, 000
2.Kodi yake tshs= 4,090,000 (TRA)
3.Registration+Road licence=320,000(TRA)
4.Port charge =240,000(TPA)
5.Delivery order $70×1771=123,970(shipping line)
6.Clearing agent fee= 250,000
Jumla=10,336,970
kama kuagiza gari kwa sasa bei hiyo na kumbuka hapo hujaweka bima na hujachora vioo na kuweka ribiti ili kuwasupress wezi wa vipuli, pia bado hujafanya service ndogo ndogo(kubadili oil, oil na air filter. Hizo ni garama za kutoa gari pale bandarini na kuagiza tu. Pia kumbuka hujapigwa longolongo za clearing agent na gari imetoka bila any extra cost.
Je kuna show room gani utakuta gari kama unavyosema ist ya 2005 chini ya 10.5 kama ulivyojinadi. Lazima itakuwa ni ist itakayokufanya uwafahamu mafundi gereji wote wa Dar/mtaani kwenu.
Come with fact as above and prove me wrong comrade
Tumalize biashara chukua 8mlns
Du wabongo bwana, alafu mnawalaumu wa china na bidhaa feki, mtu kakufanyia calculation ya gharama zote lakini bado huelewi. Ndo maana mnanunua simu mpya ya laki nane kwa sh laki mbili bila hata kujiuliza inakuwaje.
1.Ist 2005 bei yake C.I.F(beforward) ni $ 3000x1771 (exchange rate ya leo-BOT)=5,313, 000
2.Kodi yake tshs= 4,090,000 (TRA)
3.Registration+Road licence=320,000(TRA)
4.Port charge =240,000(TPA)
5.Delivery order $70×1771=123,970(shipping line)
6.Clearing agent fee= 250,000
Jumla=10,336,970
kama kuagiza gari kwa sasa bei hiyo na kumbuka hapo hujaweka bima na hujachora vioo na kuweka ribiti ili kuwasupress wezi wa vipuli, pia bado hujafanya service ndogo ndogo(kubadili oil, oil na air filter. Hizo ni garama za kutoa gari pale bandarini na kuagiza tu. Pia kumbuka hujapigwa longolongo za clearing agent na gari imetoka bila any extra cost.
Je kuna show room gani utakuta gari kama unavyosema ist ya 2005 chini ya 10.5 kama ulivyojinadi. Lazima itakuwa ni ist itakayokufanya uwafahamu mafundi gereji wote wa Dar/mtaani kwenu.
Come with fact as above and prove me wrong comrade
Gari imekuja toka june wewe unapigia exchange rate ya leo bot inakuwaje mzee,weka depriciation hapo chuku 8m
Agiza yako kwa 8mOrodha aliyoweka jamaa bei eti inafika 10.3, bei yake ya kuuzia ni 10.5 na room ya ku-negotiate ipo....FIKIRI!
Agiza yako kwa 8m
Nimeagiza kiongozi, 7.9 iko barabarani
1.Ist 2005 bei yake C.I.F(beforward) ni $ 3000x1771 (exchange rate ya leo-BOT)=5,313, 000
2.Kodi yake tshs= 4,090,000 (TRA)
3.Registration+Road licence=320,000(TRA)
4.Port charge =240,000(TPA)
5.Delivery order $70×1771=123,970(shipping line)
6.Clearing agent fee= 250,000
Jumla=10,336,970
kama kuagiza gari kwa sasa bei hiyo na kumbuka hapo hujaweka bima na hujachora vioo na kuweka ribiti ili kuwasupress wezi wa vipuli, pia bado hujafanya service ndogo ndogo(kubadili oil, oil na air filter. Hizo ni garama za kutoa gari pale bandarini na kuagiza tu. Pia kumbuka hujapigwa longolongo za clearing agent na gari imetoka bila any extra cost.
Je kuna show room gani utakuta gari kama unavyosema ist ya 2005 chini ya 10.5 kama ulivyojinadi. Lazima itakuwa ni ist itakayokufanya uwafahamu mafundi gereji wote wa Dar/mtaani kwenu.
Come with fact as above and prove me wrong comrade
Good boy.Nimeagiza kiongozi, 7.9 iko barabarani