Sidhani kama kuna vita hapoWanaharibu Tunnels za hezb,zilizotokezea upande wa israel,
anyway ni maadalizi ya vita,hizo tunnel ndo hezb wangetumia kuibukia ndani ya israel
Kikundi cha Kihuni ila ndio wapinzani wao wakuu.Hivi Israel mnaisikia au!! Hezb ni kikundi tu cha wahuni wachache, ambao hutumia nchi ya Lebanon au Syria kujificha. Sasa mnapodhani watapigana na Israel mnakuwa mnajiongopea tu.
Hawana upinzani na Hezbollah, ila nchi za kiarabu ndio zinakitumia hicho kikundi cha maseja.Kikundi cha Kihuni ila ndio wapinzani wao wakuu.
Wameshapigana karibu mara mbili au zaidi ya hapo .na mpaka leo bado ni tishio kubwa kwa hao magasho wa telaavivHivi Israel mnaisikia au!! Hezb ni kikundi tu cha wahuni wachache, ambao hutumia nchi ya Lebanon au Syria kujificha. Sasa mnapodhani watapigana na Israel mnakuwa mnajiongopea tu.
Hao unaowaita wahuni ndo wanaoeanyima usingizi mazayuni wa israeliiHawana upinzani na Hezbollah, ila nchi za kiarabu ndio zinakitumia hicho kikundi cha maseja.
Sio hao wangese wa Hezbollah!!Wameshapigana karibu mara mbili au zaidi ya hapo .na mpaka leo bado ni tishio kubwa kwa hao magasho wa telaaviv
Kaka kwenye jambo la ukweli mapenzi weka pembeni.[emoji41]Sio hao wangese wa Hezbollah!!
kuwa mfatiliaji wa siasa za mashariki ya kati na usiwe mshabiki. Huko hakuna CCM na CDMHawana upinzani na Hezbollah, ila nchi za kiarabu ndio zinakitumia hicho kikundi cha maseja.
Hezbollah ni kama Hamas tu hakuna tofauti,wote wanapigana gorillar war,yaani wanashambulia na kujificha either msituni au kujichanganya na raia.Direct confrontation na IDF Hezbolah watapasuka vibaya mno.Huo ndo ukweli.kuwa mfatiliaji wa siasa za mashariki ya kati na usiwe mshabiki. Huko hakuna CCM na CDM
Mungu hawezi kuwapamoja na magasho wa telaaviv.Hakuna mtu yoyote au kikundi chenye majigambo kinaweza kuishinda au kuitikisa Israel ulinzi WA Israel ni wa kimungu amimini usiamini lakini huo ndio ukweli na wote wale waliojaribu wamekipata cha mtema kuni !