season kama hii ndio yasemekana Yesu alizaliwa....
Mtoto mtundu mwenye hasira sana na alisifika kwa ukorofi wa kuwapiga watoto wenzake wengi wao walipoteza maisha kwa makofi aliyokuwa akiwapiga... kuna siku alikuwa akicheza na mtoto mwenzake yule mtoto alienda karibu na dirisha juu ya gholofa akaanguka na kupoteza maisha ndipo yesu aliposingiziwa na yesu kwa hasira alimfufua dogo ili amtetee kuwa hakumsukuma dirishani... Yesu yasemekana alikuwa akichezea udongo na kuukufanya kama vinygo vya ndege na kisha kuvipa uhai na waliweza kuruka.. so inamaana alikuwa ni mmumbaji pia...!
Teh teh teh teh!
Kweli kabisa nimekubali kuwa Bangi ukichanganya na Umaskini matokeo yake ni Kuchampuka tu.
Kwa hio kwa yesu kufanya vinyago na nyie mkaamua kumfanyia na yaya kakinyago kake sio?
season kama hii ndio yasemekana Yesu alizaliwa....
Mtoto mtundu mwenye hasira sana na alisifika kwa ukorofi wa kuwapiga watoto wenzake wengi wao walipoteza maisha kwa makofi aliyokuwa akiwapiga... kuna siku alikuwa akicheza na mtoto mwenzake yule mtoto alienda karibu na dirisha juu ya gholofa akaanguka na kupoteza maisha ndipo yesu aliposingiziwa na yesu kwa hasira alimfufua dogo ili amtetee kuwa hakumsukuma dirishani... Yesu yasemekana alikuwa akichezea udongo na kuukufanya kama vinygo vya ndege na kisha kuvipa uhai na waliweza kuruka.. so inamaana alikuwa ni mmumbaji pia...!
Yasemekana?
Hadithi hadithi
Hadithi njoo, uongo kolea!
Yasemekana?
Hadithi hadithi
Hadithi njoo, uongo kolea!
Teh teh teh teh!
Hadith za bulicheka na kalikalanje!
Inajulikana kuwa kuna hadithi za Paulo tu.Mbona kila kitu duniani hapa ni hadithi hadithi tu au hufahamu kuwa kuna hadithi za Mwamedi na maswahaba zake? hiyo koran Biblia zote ni Hadithi Bible Story! Koran Story Mwamedi Story ... yaani vyote Vyasemekana na sisi tumevichukua kama vilivyo na vyote havina Ushahidi
Hadithi za Mwamedi na Maswahaba wake... walikuwa viwembe... hadi visichana vidogo vyenye miaka tisa... lete kingine ndio sasa Mwamedi kapata watetezi ISIS Islamic state wanaonesha sura halisi ya Mwamedi sala wala waleki Hadithi za Mwamedi wanazifanyia practical....
Wewe na ndevu zako mpaka makalio mpaka leo unaabudu huyu msela hapa.
Kwa akili za namna hii kweli unaweza kujadili kitu cha maana wewe?
View attachment 229350
Unamaanisha huyu au?
Km unamuabudu huyu pia wala mi siwezi kushangaa.
Nyie makafiri kuabudu Picha na Vinyago Ni kitu cha kawaida kabisa.
Watu wazima mpaka leo hii 2015 mnafinyanga Vinyago vya mzungu kisha mkaviweka Nyumbani mwenu na kuvipigia goti na kuviomba Msamaha wa Madhambi yenu ya Kuibia Nchi yetu.
Nyie mmeshaandaliwa Jahannam.
Na hilo halina mjadala.
Labda mtubu na kuachana na huo UKAFIRI WENU.