Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,065
Hayo mashambulizi wanayoyafanya Hezbollah ni retaliation ya kuuwawa makamanfa wao muhimu kila sikuMakamanda wao kila siku wanauliwa,wewe uliyeko huko kamfichenj ndio unasema wamesalimu amri.
Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft.
Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina tumika pia kuangusha ndege, na kuvuruga communication system ya ndege za adui. na zinashambulia target kwa kutumia maboom yenye uzito wa 250KG ni balaa tupu.
Wa Israel wanasifia hio drone wanasema Iran hapo kafanya majabu sana, sa swali wanalo jiuliza Israel atafanya nini tena kwa Hezbullah?
Wanaomba Israel wasi subutu kuigusa Hezbullah kwenye full war, wanasema Hezbullah hawezekani tena bora tutulize akili zetu tusifikirie kusogea Lebanon hatuwezi kabisa kushinda vita.
Ndege yenyewe MQM 107 striker 3 in one ni ndege isio na pilot hatari duniani
Ndege yenyewe ni hio hapo
View: https://youtu.be/xnKdPOaJTHM?si=pcNnpHxPQFWa3q9O
Mpaka sasa karibu wanamgambo zaid ya mia 4 wa Hizbullah wanagombea bikra huko kuzimu na hapo ni rasha rasha tu sikuambii wanaume wakisema waingie mazima huko kuzimu bikra hazitatosha.Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft.
Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina tumika pia kuangusha ndege, na kuvuruga communication system ya ndege za adui. na zinashambulia target kwa kutumia maboom yenye uzito wa 250KG ni balaa tupu.
Wa Israel wanasifia hio drone wanasema Iran hapo kafanya majabu sana, sa swali wanalo jiuliza Israel atafanya nini tena kwa Hezbullah?
Wanaomba Israel wasi subutu kuigusa Hezbullah kwenye full war, wanasema Hezbullah hawezekani tena bora tutulize akili zetu tusifikirie kusogea Lebanon hatuwezi kabisa kushinda vita.
Ndege yenyewe MQM 107 striker 3 in one ni ndege isio na pilot hatari duniani
Ndege yenyewe ni hio hapo
View: https://youtu.be/xnKdPOaJTHM?si=pcNnpHxPQFWa3q9O
Ni zaidIsrael anacho deal kwa sasa ni Makamanda wa Hezibollah!
Anaua mmoja baada ya mwingine!
Nadhani wamefikia 9.
We kalia makamanda wameuliwa wameuwa makamnda wa Hezbullah tokea vita vimeanza ni 3 tu.Makamanda wao kila siku wanauliwa,wewe uliyeko huko kamfichenj ndio unasema wamesalimu amri.
Hizbullah Ina zaidi ya askari lakiIsrael anacho deal kwa sasa ni Makamanda wa Hezibollah!
Anaua mmoja baada ya mwingine!
Nadhani wamefikia 9.
Kawaida ya makafiri wanafanya wao afu wanasema waislam? Hivi kuna bint wa kislam anavaa vile hahaha.
Ila yeye anaharibiwa makazi na kuuliwa wanajeshi wake.Israel anacho deal kwa sasa ni Makamanda wa Hezibollah!
Anaua mmoja baada ya mwingine!
Nadhani wamefikia 9.
Ukitaka kuua nyoka unaanzia kichwani!Ila yeye anaharibiwa makazi na kuuliwa wanajeshi wake.
Sio kila methali ama nahau ama semi inaakisi uhalisia wa maisha.Ukitaka kuua nyoka unaanzia kichwani!
Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft.
Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina tumika pia kuangusha ndege, na kuvuruga communication system ya ndege za adui. na zinashambulia target kwa kutumia maboom yenye uzito wa 250KG ni balaa tupu.
Wa Israel wanasifia hio drone wanasema Iran hapo kafanya majabu sana, sa swali wanalo jiuliza Israel atafanya nini tena kwa Hezbullah?
Wanaomba Israel wasi subutu kuigusa Hezbullah kwenye full war, wanasema Hezbullah hawezekani tena bora tutulize akili zetu tusifikirie kusogea Lebanon hatuwezi kabisa kushinda vita.
Ndege yenyewe MQM 107 striker 3 in one ni ndege isio na pilot hatari duniani
Ndege yenyewe ni hio hapo
View: https://youtu.be/xnKdPOaJTHM?si=pcNnpHxPQFWa3q9O
Gaza pia mlisema hivihivi....yamebaki magofuWaisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft.