Israel inakaribia kuanguka

THey thought Iran is like Libya,Iraq etc
Na walifikiri kumuua Ali Khamenei kungemaliza vita na wangemueka kibaraka wao kuitawala Iran kwa maslahi yao lakini imeenda tofauti na matarajio leo ni mwezi sasa katika vita ambayo trump aliaminisha dunia vitakuwa vya siku chache ambazo hazitazidi wiki mbili
 
Unaota mchana kweupe!
 
  • Iran: At least 1,900 people have been killed in attacks on Iran since February 28, the Iranian Red Crescent reported yesterday. On March 16, Iran’s foreign minister said “hundreds of Iranian civilians,” including more than 200 children, had been killed since the conflict began.
  • Lebanon: At least 1,189 people have been killed in Israeli strikes in the country since March 2, Lebanon’s health ministry said in an update today. At least 124 children are among those killed, it said.
  • Iraq: At least 99 people have been killed across Iraq since the war began, authorities have said. In the semi-autonomous Kurdistan Region, at least 13 people have been killed, according to the regional government.
  • Israel: Some 19 civilians have been killed inside Israel since the conflict began, not including those who died indirectly because of strikes. Four Israeli soldiers have also been killed in South Lebanon, according to the Israeli military.
  • USA: Thirteen US service members have been killed since the US war with Iran began a month ago, according to the US Central Command.
Dozens of people have also been killed in other countries in the region since the conflict began. Deaths because of the conflict have been reported in the United Arab Emirates, Qatar, Kuwait, the occupied West Bank, Oman, Bahrain and Saudi Arabia since February 28, according to local authorities
 
Hilo neno mwambie kiongozi wa Israel aliyesema jeshi linaelekea kuanguka.
Waswahili bana mna ubishi wa kifala.

Hakuna kiongozi wa jeshi la Israel aliyetamka kuwa jeshi la Israel linaelekea kuanguka.

Jeshi linalokaribia inawezekana vipi liendelee kuongeza mashambulzi dhidi ya Iran?

Marekani imesema kuwa inasimamisha mashambulio dhidi ya energy facilities, lakini Israel ikiwa pekee yame tayari imeanza kushambulia enwrgy projects na viwanda vya Iran.

Vita ni mbaya, kila siku watu wanapoteza uhai. Lakini haisaidii chochote kusema kuwa eti Israel inaanguka wakati uhalisia ni kuwa wanaokufa kila siku kwa idadi kubwa ni Wairan na Walebanon. Mpaka sasa, wakati Marekani inataka vita isimame, Israel haitaki, inadai bado haijakamilisha lengo la vita.
 
 
 
Hilo neno mwambie kiongozi wa Israel aliyesema jeshi linaelekea kuanguka.
Waswahili bana mna ubishi wa kifala.
At ukachukua Jina Khaibar kuendeleza ndoto za shetani wenu allah kuua wayahudi! Ilikuwa zama hizo. Sasa hivi mtadundwa nyinyi na shetani wenu wala hatafurukuta kuwatetea. Iran ndo huyo anaondoka, kule Saudia Mwana Mfalme Mohamed Bin Salmin ndo huyo kesha usitukia Uislamu. Mdogo mdogo anaachilia watu wajirushe. Ulaya Magharibi mlikokuwa mnakimbilia ndo mmenyea Kambi. Sasa hivi wenyewe, Nationalists wanazitaka nchi zao from the Leftist Governments za akina Keir Starmer, Emmanuel Macron, Pedro Sanchez, Mark Carney and Anthony Albanese.
Mtapigwa marufuku siku si nyingi
 
Utopolo wako wa kuhusisha dini mimi humo simo.
-Mkuu wa majeshi anadai jeshi la Israel linaelekea kuporomoka.
-Mayor wa Kiryat Shmona anadai kaya 10000 zimeharibiwa.
-Mayor wa Galilee anadai kuna ukimbizi wa ndani huko Galilee na kaya nyingi zimeharibiwa.
-Times of Israel wanadai kuwa Hizbollah imeingia NDANI YA MIPAKA YA ISRAEL NA WANAPIGANA MAENEO YA KIRYAT SHMONA,GALILEE NA METULA.

Sasa wewe endelea kuendekeza udini ilhali unaowashabikia wanakuona kama GOYIM na hawakutambui. ISRAEL INAANGUKA nenda kabishie viongozi wa Israel usiniletee mimi uhanithi hapa.
KUWA LOGICAL.
 
🇵🇰🇺🇸🇮🇷⚡Pakistani Foreign Minister, Ishaq Dar: I am pleased to share very good news that the Iranian government has agreed to allow 20 more ships under the Pakistani flag to pass through the Strait of Hormuz; two ships will pass through the strait daily.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…