wasumu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,276 Aug 3, 2024 #1 Karma itamrudia Israel atapigwa vifo vitakuwa vingi itakuwa kilio na kusaga meno.hii sio chai but unabii .
Karma itamrudia Israel atapigwa vifo vitakuwa vingi itakuwa kilio na kusaga meno.hii sio chai but unabii .
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,733 Aug 3, 2024 #2 Unaongea ukiwa unaota amka kumekucha
one b JF-Expert Member Joined Jun 30, 2017 Posts 1,669 Reaction score 4,055 Aug 3, 2024 #3 Sipendi kabisa binadamu afe...sishabikii dini yeyote ingawa nina imani...lakini ukipitwa akili kubali yaishe
Sipendi kabisa binadamu afe...sishabikii dini yeyote ingawa nina imani...lakini ukipitwa akili kubali yaishe
Lello199 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 1,389 Reaction score 3,562 Aug 3, 2024 #4 Mshaanza ngonjerA zenu. Tulieni mkandwe, si mlitaka wenyewe bhana!
one b JF-Expert Member Joined Jun 30, 2017 Posts 1,669 Reaction score 4,055 Aug 3, 2024 #5 Duniani kote mossad..hawafai...
P Paschal qamara JF-Expert Member Joined Aug 17, 2022 Posts 2,528 Reaction score 4,355 Aug 3, 2024 #6 wasumu said: Karma itamrudia Israel atapigwa vifo vitakuwa vingi itakuwa kilio na kusaga meno.hii sio chai but unabii . Click to expand... Israel ni taifa la nyuklia kwa embu jaribu kupitia madhara ya nuklia yakoje kabla ya kuropoka baada ya kunywa kahawa
wasumu said: Karma itamrudia Israel atapigwa vifo vitakuwa vingi itakuwa kilio na kusaga meno.hii sio chai but unabii . Click to expand... Israel ni taifa la nyuklia kwa embu jaribu kupitia madhara ya nuklia yakoje kabla ya kuropoka baada ya kunywa kahawa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,062 Aug 3, 2024 #7 Paschal qamara said: Israel ni taifa la nuklia kwa embu jaribu kupitia madhara ya nuklia yakoje kabla ya kuropoka baada ya kunywa kahawa Click to expand... HIzo zinaitwa kenua kenua FC: Haziwezi kukuelewa.
Paschal qamara said: Israel ni taifa la nuklia kwa embu jaribu kupitia madhara ya nuklia yakoje kabla ya kuropoka baada ya kunywa kahawa Click to expand... HIzo zinaitwa kenua kenua FC: Haziwezi kukuelewa.