U Uswe JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,204 Reaction score 628 Aug 30, 2014 #1 Ismail Jussa anahojiwa sasa katika makutano ya magic fm na Fina Mango nitaweka updates hapa kwa wale walio mbali na redio Updates "kwa kuzungumza mfumo wa Serikali mbili badala ya mfumo Serikali tatu, ni ushahidi kwamba CCM hawajadili rasimu ya wananchi" @jussaCUF "Madai yetu ya msingi ni mawili tu, 1. yapi ni mamlaka ya bunge la katiba na 2. rasmi ya wananchi ndio ijadiliwe" @jussaCUF "Madai yetu ya msingi ni mawili tu, 1. yapi ni mamlaka ya bunge la katiba na 2. rasmi ya wananchi ndio ijadiliwe" @jussaCUF "UKAWA haitaishia katika suala la katiba, tumeunda timu ndogo kwa ajili ya kuangalia maeneo tutakayoendelea kushirikiana" [URL="https://twitter.com/jussaCUF"]@jussaCUF [/URL]
Ismail Jussa anahojiwa sasa katika makutano ya magic fm na Fina Mango nitaweka updates hapa kwa wale walio mbali na redio Updates "kwa kuzungumza mfumo wa Serikali mbili badala ya mfumo Serikali tatu, ni ushahidi kwamba CCM hawajadili rasimu ya wananchi" @jussaCUF "Madai yetu ya msingi ni mawili tu, 1. yapi ni mamlaka ya bunge la katiba na 2. rasmi ya wananchi ndio ijadiliwe" @jussaCUF "Madai yetu ya msingi ni mawili tu, 1. yapi ni mamlaka ya bunge la katiba na 2. rasmi ya wananchi ndio ijadiliwe" @jussaCUF "UKAWA haitaishia katika suala la katiba, tumeunda timu ndogo kwa ajili ya kuangalia maeneo tutakayoendelea kushirikiana" [URL="https://twitter.com/jussaCUF"]@jussaCUF [/URL]
assadsyria3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 6,909 Reaction score 4,057 Aug 30, 2014 #2 nilijua uzi wa maana aaagh
H hans79 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 3,800 Reaction score 431 Aug 30, 2014 #3 assadsyria3 said: nilijua uzi wa maana aaagh Click to expand... Go to hell
segwanga JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,788 Reaction score 731 Aug 30, 2014 #4 Anasema ana mpango wa kurejea bungeni?
H hans79 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 3,800 Reaction score 431 Aug 30, 2014 #5 segwanga said: Anasema ana mpango wa kurejea bungeni? Click to expand... Bunge lipi hilo la kitchen party linaloendelea Dododma!
segwanga said: Anasema ana mpango wa kurejea bungeni? Click to expand... Bunge lipi hilo la kitchen party linaloendelea Dododma!
5 5525 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 5,485 Reaction score 6,501 Aug 30, 2014 #6 Jussa ni mwiba mkali sana, anajuwa sana hayo mambo 2 kweli ndio shida yetu.
manning JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,093 Reaction score 11,948 Aug 30, 2014 #7 assadsyria3 said: nilijua uzi wa maana aaagh Click to expand... Kwa hali ilivyo mwaka huu CCM watakojoa changarawe.
assadsyria3 said: nilijua uzi wa maana aaagh Click to expand... Kwa hali ilivyo mwaka huu CCM watakojoa changarawe.
G gasaya29 Member Joined Aug 14, 2014 Posts 25 Reaction score 3 Aug 30, 2014 #8 assadsyria3 said: nilijua uzi wa maana aaagh Click to expand... Weka utakao kufaa ww