TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
Hii Kali, adui yako wa vita ndio akuandikie habari
Hata KKK jeshi la yesu dhidi ya ustaarab na uafrika (wao waliwaita Negros) walikua na msalaba mkubwa kama na ndio alama yao.
Mie sukutukani kizungu.lakin8 mjinga ni yule alienda shule lakini akasujudia sanamu elimu yake haikumsaidia kitu
Je na Yule aliyeenda shule lakini akawa anazunguka mawe na kuyasujudu basi atakuwa ni mlemavu waakili pia
Hai ISIS ni evolution ya jeshi la yesu lilikuwa kazi yao kuua kila asiekua mkristo na mzungu.
Kundi likiungwa mkono na Wakristo huko marekani kuua Waafrika na kutaka kuanzisha utawala wa yesu huko marekani . Kundi la damu ya yesu lilichafua sana haiba ya marekani na ukristo.lilipigww marufuku lakini wapenzi wake wapo katika vyama vya democrat na republican.
Neo cons waliopo serikalini ambao lengo lao la kuitawala dunia haitowezekana bila kuupiga vita uislam.hiivyo wameirejea sera ya Jeshi hilo la yesu kwa kuunda ISIS wanajua sera ya ISIS ambayo ni ya jeshi la yesu KKK itatumika vyema kuuchafua uislam na hatimae lengo lao la kuupiga vita ya kweli itimie.
Lakini Walah uislam ni kama hewa inavisambaa na inapenya kila sehemu kuupiga vita unajisumbua.
Hili ndio jeshi la yesu

Hhahaha, umjui Yesu wewe, ujui Upendo wa Yesu wewe, Ujui kwamba nick name yake ni Mfamle wa amani kwa kufundisha Upendo. Pole sana
Mkuu, ISIS wanatumia verse hizi, ISIS ni waarab na ndiyo wanaelewa vizuri uislam kuliko wewe ulieletewa enzi za utumwa
Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.
Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Sura 9:29
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii

Wooooows, people.