Watu wengi tunapata mafanikio bila hata kujua tumeyapataje au tufanye nini ili kuyaongeza mara 100 zaidi! Leo nitawapa forbidden knowledge walau kwa ufupi sana. Wanasayansi wa kada ya 'Quantum mechanics' waliweza kugundua mambo yafuatayo kuhusu ulimwengu wetu katika tafiti zao za miaka ya...