Wao wako bize na makinikia tuUtaliita ndiyo sekta inayongoza kuchangia pato la taifa kwa around 17% ikifuatiwa na mawasiliano, kilimo na viwanda, madini yanachangia kiasi kidogo sana.
Kwa sababu 75% ya Watanzania wako vijijini na wanategemea kilimo, nilitegemea serikali ingewekeza zaidi kwenye sekta ya kilimo ambacho wengi wanakimudu, sekta ya madini wachache sana wanaomudu kufanya biashara hiyo.
Mzandiki mbobezi katika ubora wako.Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Barrick wakitoa 300milioni dola walizoahidi, Mkulu atanunulia yale "meno" ili watu wapate vitendea kazi.Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ..
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
......
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
In kweli kilimo ndio itakayoleta mapinduzi katika maendeleo ya watu. Ni ukweli usiopingika pia kwamba mapato yapatikanayo ktk kilimo sasa hayatoshi kabisa kuimarisha kilimo chenyewe.Jana nlichangia uzi mmoja humu nliuliza madini yanachangia asilimia ngapi kwenye pato la Taifa?sikupata jibu....
Nkasema tanzania isitegemee hata Siku moja wananchi wake wata toboa kwenye sekta ya madini,lakini serikali ingeweka nguvu zaidi kwenye kuinua kilimo,kilimo ndiyo Mlango mzima madini hayo dhahabu,almasi,tanzanite n'a madini mengine ya vito ni anasa tu Ktk matumizi(mimi naitaka hivyo)
Nashangaa awamu hii kilimo wao wamezidi kukitupa Mkono hawafikiri kbao gani ya kumuinuaa mkulimaa
Sekta ya utali tu pato lake Siku zote linazidi madini Ktk mchango wake
Kuna nchi moja afrika Jina nmesahau wao pato lao kuu wanategemea utaliii,sisi ni makinikia tu inawasumbuaaa Mpaka sasa je Hzo zingone wataweza
Asante kwa kuleta uzi huu kamanda
Ova
Wasiwasi wako wa nini?ni dhambi?Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Kama huelewi hoja bora upite tu nani kakasirika rasilimali kusimamiwa, tatizo lenu mmejenga hisia mtu fulani akisema lazima atakuwa anaipinga serikali, Zitto akishauri kitu huyu lazima atakuwa amehongwa, Lissu akisema kitu hata kama ni cha maana huyu sio mzalendo, upuuzi kabisa.Wasiwasi wako wa nini?ni dhambi?
Kama madini tulio nayo tukiyatumia kwa faida ya nchi ili yatuvushe kuna ubaya gani?
Umekasirika nchi kusimamia rasilimali zake?
Idiot, unafikiri kila mtu ana akili za kushikiwa kama za Lumumba.Stupid thread
Punguza povu dada.Umesema wasiwasi wako nchi isiwe mineral republic!Je ni dhambi tukiwa mineral republic?Kama huelewi hoja bora upite tu nani kakasirika rasilimali kusimamiwa, tatizo lenu mmejenga hisia mtu fulani akisema lazima atakuwa anaipinga serikali, Zitto akishauri kitu huyu lazima atakuwa amehongwa, Lissu akisema kitu hata kama ni cha maana huyu sio mzalendo, upuuzi kabisa.
Elewa madini siyo biashara ya kudumu madini hayazai kuna siku yatakwisha.Punguza povu dada.Umesema wasiwasi wako nchi isiwe mineral republic!Je ni dhambi tukiwa mineral republic?
ahaaaa, ndo umekaa ukafakari na kuishia hapo,ungemtafuta bavicha mwenzio mjadiliane hiloKulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Tulishafanya kilimo kwanza kwa miaka 10,tumeona wapi turekebishe na ndio maana kila siku manakuja na vitisho vya njaa kisa serikali haiweki chakula cha akiba,akiba ya chakula inaanza nyumbani kwako kwanza acha kupikia pombe nafakaSekta ya kilimo kwa mfano ndiyo sekta inayoweza kumuinua mwananchi kwa muda mfupi,
kwenye utalii tumeshafanya marekebisho mengi ya msingi ikiwemo kuleta ndege mpya sita ili kuongeza idadi ya watalii watakuwa wanakuja moja kwa moja lakini ndege mnazibeza na kusaidia watu watu zizuiwe.utalii ni sekta unaoongoza kuchangia pato la taifa
Madini ndio sekta ilioikua imeoza kuliko zote na ndio nyie mlikua mnapiga kelele kila siku ajabu kwa sasa unaskia kichefu chefu yakiongelewa mambo mazuri kuhusu madinilakini kila siku press conference za makinikia tu
Kama huelewi kilichoandikwa pita kushoto.ahaaaa, ndo umekaa ukafakari na kuishia hapo,ungemtafuta bavicha mwenzio mjadiliane hilo
chanzo cha upuuzi ni mpuuziKama huelewi kilichoandikwa pita kushoto.
Kama Kilimo kwanza kiliwashinda na serikali inajua ilikosea wapi mbadala wake ni nini, mnaleta matrekta eti ya bei nafuu kwa mkulima halafu mnauza mil. 60 nani atanunua, leo yamejazana pale Mwenge Suma JKT yamekosa mnunuzi.Tulishafanya kilimo kwanza kwa miaka 10,tumeona wapi turekebishe na ndio maana kila siku manakuja na vitisho vya njaa kisa serikali haiweki chakula cha akiba,akiba ya chakula inaanza nyumbani kwako kwanza acha kupikia pombe nafaka
kwenye utalii tumeshafanya marekebisho mengi ya msingi ikiwemo kuleta ndege mpya sita ili kuongeza idadi ya watalii watakuwa wanakuja moja kwa moja lakini ndege mnazibeza na kusaidia watu watu zizuiwe.
Madini ndio sekta ilioikua imeoza kuliko zote na ndio nyie mlikua mnapiga kelele kila siku ajabu kwa sasa unaskia kichefu chefu yakiongelewa mambo mazuri kuhusu madini
unataka trekta liuzwe kwa milioni mbili?Kama Kilimo kwanza kiliwashinda na serikali inajua ilikosea wapi mbadala wake ni nini, mnaleta matrekta eti ya bei nafuu kwa mkulima halafu mnauza mil. 60 nani atanunua, leo yamejazana pale Mwenge Suma JKT yamekosa mnunuzi.
Kuhusu Mbaazi Mwijage alienda India na ameshalizungumzia hiloHatuoni mikakati yeyote au press conference kama za makinikia kuongelea kushuka kwa biashara ya zao la mbaazi ambalo bei imeshuka toka sh 2,500 hadi 200 kwa kilo.
Sio kila kitu lazima tufanane na wakenya,na kwa taarifa yako pamoja na uwepo wa vta,watalii wameongezeka sana 2016/2017Kwenye utalii wakati washindani wenu Kenya wakiondoa VAT kwa watalii sisi tunaongeza ushuru na VAT juu.
Kwenye madini kulikwa kumekufa, kwa hiyo jitihada zilizopo sasa ni za kupafufua ili pakishafufuka basi patembee kwa pamoja na sekta zingine kv kilimo, na matarjio ni kwamba sekta hii itakuja kuongeza push kwa sekta zingne ambazo zenyewe zimekuwa LIVE tangu huko nyuma. Kama zote kwa ujumla bila sekta ya madini tuseme zilikuwa zinaenda kwa mwendokasi wa wastani wa 50 km kwa saa, tunatarajia kuwa mwendokasi utanongezeka kufikia tuseme wastani wa 75 km kwa saa ikiwemo sekta ya madini yenyewe. Jamani tuwaombeeni hawa watu Mungu aendelee kuwa pamoja nao, wa-Tanzania wapate neema.Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'. A country whose economies largely dependent on single commodity.