Sawa tumekusikia.Nini kifanyike sasa?Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwanini sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mikakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwanini sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mikakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Mikakati hiyo ilifanyikaa kwa interval ya miaka mingapi ????Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.

Unataka mimi niandike nimefanya nini, mbali na shughuli zangu binafsi nalipa kodi, PAYE ya zaidi ya laki tano kila mwezi, kuna hela yangu PSPF serikali imenikopa kule.Why don't you lift up your back side ukaanza kufanya kazi badala ya kujaza server? Hujaona hike, hujaona kile, wewe umefanya nini?
Unaonaje ikiitwa Matukio Republic?Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Ndugu yangu tatizo sio kupania bali kupanga, unaweza kupania na usifanikishe kwa kuwa na mipango mibovu.Ooh Mungu wangu. Watanzania wengine ni janga kabisa. Watu wamepania kuikomboa nchi kutokana na wizi wa rasilimali zetu anakuja quinine anaandika utumbo huu.
Why don't you lift up your back side ukaanza kufanya kazi badala ya kujaza server? Hujaona hike, hujaona kile, wewe umefanya nini?
Jana nlichangia uzi mmoja humu nliuliza madini yanachangia asilimia ngapi kwenye pato la Taifa?sikupata jibu....Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
"At the movement we are going, ukidhani kwamba huelewi nchi inaenda wapi, tambua kwamba hata nchi pia haikuelewi unapoelekeaKulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.
Nina wasiwasi na nchi yetu ya Tanzania inaelekea kujulikana kama 'Mineral Republic'.
Nasema hivyo kwa sababu sioni mipango mikakati yeyote 'tangible' ambayo serikali yetu imedhamiria kuifanya au inaifanya kuimarisha sekta zingine zaidi ya sekta ya madini. Nchi imegubikwa na suala moja tu la madini madini utadhani Watanzania hawawezi kuishi bila madini.
Kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na mikakati ya kitaifa ambayo ilitekelezwa kwenye sekta mbalimbali. Tulizoea kusikia serikali ikihamasisha, Elimu Ni Msingi, Kilimo ni Uti wa Mgongo, Misitu ni Mali, 'Kilimo cha kufa na kupona', Maji ni Uhai, nk.
Kwa mfano, mkakati wa serikali ya Nyerere wa 'kilimo cha kufa na kupona' mwitikio na hamasa ilikuwa mkubwa, huko vijijini ilikuwa ni lazima mtu angalau awe na ekari moja ya shamba, na ilikuwa marufuku kuonekana ukizurula nyakati za asubuhi. Upandaji miti vile vile kila mjumbe wa Shina alitakiwa awe na mti wake wa mfano. Leo sioni mikakati yeyote ya maendeleo kuhamasisha wananchi zaidi ya kuhamasishwa kufanya usafi mara moja kwa mwezi.
Hata awamu zilizopita tuliona, mikakati mbalimbali ya maendeleo kitaifa kwenye sekta mbalimbali kama mipango ya , MKURABITA, MKUKUTA, SHULE KILA KATA, KILIMO KWANZA nk ambayo ilikuwa ni mipango ya serikali kuhamasisha wananchi kujihusisha na uzalishaji na maendeleo ya jamii katika maeneo tofauti.
Kipindi cha awamu hii sijasikia wala kuona waraka wowote wa serikali ukisambazwa kuhamasisha azimio au mkakati wowote wa kitaifa, labda nisiwe mchoyo wa fadhila kwenye mpango wa madawati ingawa sijui project hiyo imefanikiwa kwa asilimia ngapi.
Sioni mikakati ya Kilimo, sioni mikakati ya Maji na Uvuvi, Elimu, Misitu, sijaona press conference ya rais kuzungumzia mikakati ya umwagiliaji kila siku madini na miundombinu tuuu.
Naona ni kama serikali imepigwa na ganzi iko 'stagnant' isijue ni vitu gani vya msingi vinavyogusa maisha ya familia moja kwa moja badala ya kusubiri faida ya Madini ambayo wananchi wa kawaida wanaweza wasiipate wala kuiona kwa kipindi cha uhai wao.
Utaliita ndiyo sekta inayongoza kuchangia pato la taifa kwa around 17% ikifuatiwa na mawasiliano, kilimo na viwanda, madini yanachangia kiasi kidogo sana.Jana nlichangia uzi mmoja humu nliuliza madini yanachangia asilimia ngapi kwenye pato la Taifa?sikupata jibu....
Nkasema tanzania isitegemee hata Siku moja wananchi wake wata toboa kwenye sekta ya madini,lakini serikali ingeweka nguvu zaidi kwenye kuinua kilimo,kilimo ndiyo Mlango mzima madini hayo dhahabu,almasi,tanzanite n'a madini mengine ya vito ni anasa tu Ktk matumizi(mimi naitaka hivyo)
Nashangaa awamu hii kilimo wao wamezidi kukitupa Mkono hawafikiri kbao gani ya kumuinuaa mkulimaa
Sekta ya utali tu pato lake Siku zote linazidi madini Ktk mchango wake
Kuna nchi moja afrika Jina nmesahau wao pato lao kuu wanategemea utaliii,sisi ni makinikia tu inawasumbuaaa Mpaka sasa je Hzo zingone wataweza
Asante kwa kuleta uzi huu kamanda
Ova
Did you just say balimi republic?Kulikuwa na nchi moja huko Amerika ya Kati ambayo ilikuwa inajulikana kama 'Banana Republic', ilijulikana hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya mapato yake na uchumi wake ulitegemea zao moja tu la ndizi.