Then your observation ain't on point. Patial lockdown and cessation of movement has helped spread of the virus countrywide. The numbers of infections you are hearing of are mostly from old Mombasa and Eastleigh.
Tehehe,pikeni tu takwimu,mwisho wa siku mnaumbuka,pamoja na lock down na curfew bado tu mnakufaHawa ndio maana wamepiga tiki taka za mapaipai na mananasi maana hii safari imewashinda.View attachment 1439681
Tehehe,pikeni tu takwimu,mwisho wa siku mnaumbuka,pamoja na lock down na curfew bado tu mnakufa
This is very seriousKenya did 26,000 tests and got 490 positive results while Tanzania only did 600 and got 480 positive tests. Can you see how bad your country is?
Unajikanganya, kule umesema tumefanya mazz test 600 positive 480Hizo ni takwimu za CDC, nyie safari imewashinda mumeamua tikitaka za mapaipai.
Unajikanganya,kule umesema tumefanya mazz test 600 positive 480
Hao CDC wamempima nani mbona sijawaona wakipima watu au hizo data wamechukua huko kariobangi?
Both, kwanini lab technicians hawaku cross check de kits na kureport their malfunctions, hadi usalama wawasaidie. Huenda wamehisi wanahusika.I don't understand these people at all. Right now Magufuli has fired the director of National laboratory blaming them and at the same time blaming the test kits. I just need one person from Tanzania to tell me what's the problem, is the test kits or the lab technicians?
Kila mtu anajua tests za China zilikua defective. Wale walistuka juu Magufuli alisema hawaja fuata mambo ya testing worldwide. Kenya ilijua hizo test kits sio accute. That is why we are using machines that are use to test other diseases like TB and HIV to do corona testing. These are very accurate though take time.Both, kwanini lab technicians hawaku cross check de kits na kureport their malfunctions, hadi usalama wawasaidie. Huenda wamehisi wanahusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile visticks si mnaviagiza lkn, vile huingizwa puani. Vile ndio shidaKila mtu anajua tests za China zilikua defective. Wale walistuka juu Magufuli alisema hawaja fuata mambo ya testing worldwide. Kenya ilijua hizo test kits sio accute. That is why we are using machines that are use to test other diseases like TB and HIV to do corona testing. These are very accurate though take time.
Joto la jiwe anataka tuache kutest na quarantine tuache watu wakufe tu?