wakuu hili la sub-standard war supplies and equipment lipo nchi karibia zote za subsaharan africa... hata sisi tumo humohumo na hata huyo mu7
its corruption, dumping place for them and many other factors kama vile uwezo mdogo wa technical personnel wetu etc vinavyochangia...
I am sad kwamba badala ya kujisifia on quality procurements, tumeanza kushangilia kwamba neighbour kachemsha naye kanunu feki etc... ni ileile siasa ya kijijini ya kutamani wote wawe na nyumba za tope,
what pleasae do we get kama kaka na dada zetu wa nchi jirani wanakufa njaa halafu corrupt leaders wananunua vitu feki from China??
Lets for once love each other and unite against corrupt system --- that will yiled positive for all EAF countries
hawa wazunguna wachina wanatutumia kama sites za ku-dispose products zao