hilo basi ujue hilo na wazungu wanajua hilo.Rwanda 1994 walikuwa wanachinjana lakini u.s.a hakutuma jeshi lakini 1992 u.s.a alikwenda somalia kwa sababu ya mali, congo wanapigana kwa sababu ya mali na watu weusi ndio vibaraka wazungu.hata kunta kinte aliuzwa na jamaa zake.Afrika ni bara tajiri na ni bara la umasikini ,omba omba ujinga na maradhi,nchi za ulaya zinaungana na afrika zinatengana,huyu msomal,nigerian,mtanzania,ghanania wote ni watu wanaishi afrika.Mhindi anasafiri kutoka asia anakuja afrika miaka mitano ni tajiri sana ila mwaafrika ni masikini kwa sababu ya roho mbaya na fitina kwani kuna kaburi la msomali na mtanzania bali ni kaburi kwa hiyo haya bob marley message africa unite lakini leo waafrika wa mashariki ni wajinga wa mwisho bora west afrika wanamaendeleo kuliko mashariki