Best tushaijadili hii, ila kimsingi kunataratibu za kufuata kiserikali kabla ya kutangaza matokeo ya utafiti, ndo maana itakuwa ngumu kwetu kuyatangaza kwenye gazeti la serikali ukizingatia ni jinsi gani serikali isivyopenda kusema ukweli. Juzi synovate walitoka na kauri kuwa hawajafanya utafiti kwa urais sasa leo wanatoka na hayo. Kimsingi hawatatukubalia(serikali). tulia tu 31st yaja!