Fei Toto bado sana hadi aanze kupewa sifa hizo. Asubiri at least misimu miwili ijayo. He is too overrated anyway!!
Mguu kama fimbo, khaaa
Kwani lazma ufanye comparison, itoshe tu kusema mpemba ni Overrated kwa leoGift mauya ni bora kuliko huyo mpemba.Kuna yule mwingne anaitwa ndemla yuko pale mikiani,wanamsifia kwa kupga mashuti lakni yote yanaenda nje.
hahaahaa,utopolo na mikia huwa mnawakuza sana wachezaji wenu kupitilizaKwani lazma ufanye comparison, itoshe tu kusema mpemba ni Overrated kwa leo
Ila siku nyingine tutadili na huyo anayepiga mashuti ya nje.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
. Leo tukae kwa Overrated kwanza
Au anapaishaGift mauya ni bora kuliko huyo mpemba.Kuna yule mwingne anaitwa ndemla yuko pale mikiani,wanamsifia kwa kupga mashuti lakni yote yanaenda nje.
Yaani mchezaji hujamuona hata mechi moja unasema Overrated!!
Hata Morrison walimkuza kupitiliza.hahaahaa,utopolo na mikia huwa mnawakuza sana wachezaji wenu kupitiliza
Yaani mchezaji hujamuona hata mechi moja unasema Overrated!!
[emoji1][emoji1]
...lakini ndio mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga 2019/2020 😛Kwa kifup hana madhara....ila inatokana na position anayochezeshwa.