Nimefika mkuu wangu!!
Hii kozi unatolewa na vyuo vitatu hapa Tz. Cha kwanza ni SUA ambao wao irrigation ni major course, cha pili ni ATC ambao wao wame major kwenye civil ila wame minor kwenye irrigation(hawa wanachukua watu wa diploma na sio alevo) na cha mwisho ni chuo cha maji dsm hawa wao wame major kwenye maji na ku minor kwenye irrigation=!
Unapoongelea irrigation unaongelea kilimo na unapoongelea kilimo SUA ndio nyumban kwake!!
NB: Kama unataka elim nenda SUA ila kama wewe ni lele mama usiguse huko!!