Iringa vijijini mnazingua

Ingia exotic tafuta mmoja msafirishaji mpaka pawaga ukishindwa nenda Miami bar au stereo bar
 
Mzee siku nne tu unajichukulia sheria mikononi? Mzee tafakari kabla hujashtakiwa na nafsi yako[emoji41]
 
Kamwene mwiyangu!
 
Pawaga hapo Itunundu yanapolala mabasi pana mabaa yamechanganya na mademu kibao hasa msimu huu wa mavuno wewe unaonekana sio muwindaji kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…