Sijatetea kipigo, lakini kama mwanachuo, huyo dada alipaswa kuchukua hatua na si kuisambaza kwani inaonekana hata yeye hakuwa na nia ya dhati ya kusaidia zaidi ya kupublicize tu.Mkuu wewe alshabab au boko haram?
ukawa hakika nyie ni mazezeta na kuacha ni ngumuUshamba wa matumizi ya smartphone hakika ELIMU,ELIM,ELIMU.
We nayee.....Kwa hiyo wanafunzi wote wa udsm ndo wamefanya vile? jifunze kuongea point nzuriAchen kussuport ule upumbav uon mpaka serikal imeingilia Kat.
Wanafunz wa udsm wana matatzo sana. Kama unaweza kumpiga mtoto wa mwenzako vilee duuu ule n unyama.
Shule kama ipo Somalia.
Wanafunz wa uteacher udsm shame to you
khaa wee jamaa wewe yan kupiga vile mtoto ndo kujielewa!?,you can't be serious kama kujielewa kwa wanafunz wa UD ni kupiga vile endeleen kujielewa wenyewe mtuache wa iringa tusiojielewaTukisema vyuo vikuu vinavyojitambua vip DAR NA MORO TU mnapinga, IPO SIKU MTAKUBALI!!,.
Wale dot com generation kama wewe hamuwezi nielewa, but ukweli ni kuwa sikubaliani na adhabu za namna hii kwa sababu jamii ya leo si ya enzi zile, lakini pia wenyekuchukua maamuzi yapasa wawe makini kwa sababu tuliowengi hatujui mazingira na tabia za mwanafunzi huyo kule shuleni mbali na hili lililomkuta, je kama walimu wataona uamuzi umekaa kisiasa zaidi watafanya kazi kwa moyo uleule hasahasa anapokuja kuguswa mkuu wa shule.Na Wana jamvi
Ajui alitendalo uyo msomalia uyo kahamia tzkhaa wee jamaa wewe yan kupiga vile mtoto ndo kujielewa!?,you can't be serious kama kujielewa kwa wanafunz wa UD ni kupiga vile endeleen kujielewa wenyewe mtuache wa iringa tusiojielewa
Apo sasa umeeleweka be specific mkuuWale dot com generation kama wewe hamuwezi nielewa, but ukweli ni kuwa sikubaliani na adhabu za namna hii kwa sababu jamii ya leo si ya enzi zile, lakini pia wenyekuchukua maamuzi yapasa wawe makini kwa sababu tuliowengi hatujui mazingira na tabia za mwanafunzi huyo kule shuleni mbali na hili lililomkuta, je kama walimu wataona uamuzi umekaa kisiasa zaidi watafanya kazi kwa moyo uleule hasahasa anapokuja kuguswa mkuu wa shule.
Nb. Adhabu kama hizi zilikuwepo na zingine zaidi ya hizo faida ya kizazi cha leo kuna wassup na Facebook wanaweza peleke malalamiko yao wengine hatukuwa na pa kupeleka na hata tulipopeleka hatukusikilizwa.
I guess amefungua wazazi macho waone ni nini watoto wao wanapitia huko mashuleni kwao.Tena believe me hiyo ni robo ya mambo ambayo baadhi ya shule zetu za mageti meusi hutufanyia sisi wanafunzi ni unyanyasaji wa hali ya juu sisi shuleni back in the days unapigwa na walimu wa kiume kama tano wote fimbo 20 kwepa unaipata popote hapo umeingizwa kwenye tairi ndani ya staffroom this was done mostly to boys msichana ukitoka hapo mikono ni ya kijani and no one cared.Walimu msilalamike kuwa huyu aliyeanika hii video kakiuka maadili ya kazi na nyie pia muuvae utu at a certain point kama ualimu haukuwa wito basi do it for the money msimalizie stress zenu kwa watoto wa watu.Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Nami nilitaka nimuulize,kwanini atusemee na sisi ilhali wenyewe tupo?Hamnielwi na nani?
Mkuu nimetengua kauli!!!..khaa wee jamaa wewe yan kupiga vile mtoto ndo kujielewa!?,you can't be serious kama kujielewa kwa wanafunz wa UD ni kupiga vile endeleen kujielewa wenyewe mtuache wa iringa tusiojielewa
Ukiona lile tukio limetokea ujue sio mara ya kwanza kutokea.Ameisaidia katika lipi kwa kuumiza wengine? Unafikiri pale shuleni muda huu panakalika akili ndogo tu. Angekuwa na mapenzi mema si angempelekea hiyo video mkuu wa shule… hata huyo mwanafunzi anamtatizo yake
Inaonesha ndicho mnachofundishwa.We nayee.....Kwa hiyo wanafunzi wote wa udsm ndo wamefanya vile? jifunze kuongea point nzuri
Mawazo uchwaraHuyo alierekodi ndo hana taaluma ya ualimu,coz ataendelea kupga pic za adhabu za shuleni