kafukuzwa na nani? weka hilo andiko la kufukuzwa kwake. Kama mwanamke ambaye huenda anamtoto hakuona suala lile ni la kufumbia macho. Ni mpumbavu tu anayeweza kuona unyama ule na kujifanya haoni.NAYE CHUO HANA PUMBAAVU ZAKE HAWA WANAWAKE KICHWANI ZERO KABISAA
Hiv ww unavyoona ameisaidia jamii katka kuyatambua haya makosa au usaliti.Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
HUJACKIA KUWA WALIMU WOTE WALIO ONEKANA WAMEFUKUZWAkafukuzwa na nani? weka hilo andiko la kufukuzwa kwake. Kama mwanamke ambaye huenda anamtoto hakuona suala lile ni la kufumbia macho. Ni ******** tu anayeweza kuona unyama ule na kujifanya haoni.
Wale n wakufukuza tu maana waliuvamia uwalimHUJACKIA KUWA WALIMU WOTE WALIO ONEKANA WAMEFUKUZWA
Nafikiri ni UTOTO unaokusumbua...Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Mchomaji mcheki fb anajiita esther haremboNatafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Acha kuwaita wa iringa University wasaliti ebu waza yule mwanafunzi Angekua ndugu yako ama mwanao ungejisikiaje. Iyo ndo falsafa yao Maadili Kwanza. Let's us to change our community.Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Wewe ni Mtz au unatoka Somalia?Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.
Sasa wewe ulitaka ifichwe ili iwe nini na kwa faida gani hasa!? Huyu alikerwa na uhuni ule na akachukua hatua wewe unatetea!? Au ulitaka awe Kama yule Mwalimu aliyetoa ushahidi wa kuwa alikuwa akipewa pesa ili awapeleke watoto wadogo wanafunzi wake kwa watuhumiwa wa kesi ya urawiti na udharirishaji wa kingono!?Natafakari sana jinsi Hmaster, Viongoz wa Shule, Walimu, Wanafunzi, wazaz, familia za Wahanga waliotumbuliwa kwa tukio la Kupigwa mwanafunzi lililorekodiwa na Mwanafunzi wa Iringa University aliyekuwa Field pale Mbeya Day Sec, Je huyu Haule na Chuo chake Cha Iringa Varcity leo wamejiskiaje??? Huu usaliti na Ushamba wa Vi techno vya kichina kurekodi kila kitu kumewaponza maisha wenzake. Iringa University imevaa sura ya Usaliti, Uvunjifu wa maadili ya Kitaaluma, kutokuwa wasiri nk. Najiuliza mwakani Wanafunzi wenu wakikosa FIELD ATTACHMENT mtalalamika?? Tubuni hiii dhambi ya Usaliti itawatafuna.