L Latoya JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 660 Reaction score 457 Jul 6, 2013 #21 Hujambo wewe?missing you watu8 said: Ndege wafananao ndio warukao pamoja... Click to expand...
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,064 Jul 6, 2013 #22 Aisifuye mvua imemnyea........nyie mwadhani kule hotelini chumbani walienda kuimba mapambio ama ?
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,064 Jul 6, 2013 #23 Kuna jamaa pia huko mbele alichanganya kazi za Justin Bieber na Michael Jackson (wa utotoni) na akaweka kichwa cha habari "nani zaidi " Kwa kila comment kumi tisa aliambulia matusi kwa kumdhalilisha MJ.
Kuna jamaa pia huko mbele alichanganya kazi za Justin Bieber na Michael Jackson (wa utotoni) na akaweka kichwa cha habari "nani zaidi " Kwa kila comment kumi tisa aliambulia matusi kwa kumdhalilisha MJ.
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,499 Jul 6, 2013 #24 kwa akili tu ya kawaida hata ndugu zetu wa milembe hawajawah kuwaza hivo.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,304 Reaction score 21,727 Jul 6, 2013 #25 Duuh diamond na MJ? Thubutuuu Labda km kuna MJ wa TZ lkn si yule mfalme wa pop tunaemjua sie
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,431 Reaction score 108,592 Jul 7, 2013 #26 Kazi ya kichwa siyo kufugia nywere na kubandika mawigi.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,549 Jul 7, 2013 #27 Ndoto zingine tamu...!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,382 Reaction score 108,556 Jul 8, 2013 #28 Latoya said: Hujambo wewe?missing you Click to expand... Hello best...sijambo sana...pole na majukumu...mic ya!
Latoya said: Hujambo wewe?missing you Click to expand... Hello best...sijambo sana...pole na majukumu...mic ya!
Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 118 Jul 8, 2013 #29 believer said: Joh makini anasema bongo movies taaluma........ Click to expand... Bongo movie bongo lala.....hajakosea hata kidogo...
believer said: Joh makini anasema bongo movies taaluma........ Click to expand... Bongo movie bongo lala.....hajakosea hata kidogo...
L Latoya JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 660 Reaction score 457 Jul 8, 2013 #30 Asante best mc u 2 watu8 said: Hello best...sijambo sana...pole na majukumu...mic ya! Click to expand...
Asante best mc u 2 watu8 said: Hello best...sijambo sana...pole na majukumu...mic ya! Click to expand...
gudluck Member Joined May 20, 2013 Posts 12 Reaction score 3 Jul 8, 2013 #31 C unajua m2 chake so lazima afagilie tu
delusions JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 5,001 Reaction score 1,291 Jul 8, 2013 #32 Jamaa alifaidi sana hotelini kapiga kazi ya ukwee majibu hayajifichiii
B bill williams Member Joined Feb 26, 2013 Posts 6 Reaction score 1 Jul 9, 2013 #33 duh?? Ndo uzur wa uhuru wa kinywa na ndo maon yake ofcoz,.....bas sawa tuendelee na mengine,....
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,569 Jul 9, 2013 #34 hakuna kiumbe ataekuja kumfikia MJ kwa dunia tuiishiyo leo, labda next generation people.
Free ideas JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 3,508 Reaction score 2,058 Jul 9, 2013 #35 Diamond karithi nn kwa jacko ama mavazi??,maana hata mziki hawaendani,na hata weza kabisa kumfikia,hivi unamjua jacko ama la,yule ni mkali haita tokea na ameaxha heshima kubwa ambayo hakuba mzungu ataacha kwa karne hizi tatu uijazo
Diamond karithi nn kwa jacko ama mavazi??,maana hata mziki hawaendani,na hata weza kabisa kumfikia,hivi unamjua jacko ama la,yule ni mkali haita tokea na ameaxha heshima kubwa ambayo hakuba mzungu ataacha kwa karne hizi tatu uijazo