Hawa ndio wale wanaume aliowaimba Juma Nature "wenye nguvu za Simba na wasiogopa risasi,wenye uwezo wa kuhonga.............".
Ndoa ya tatu naona dada yangu anendelea kufanya trial and error calculation ya kutafuta mwanaume wa kudumu nae,sisi tunahesabu wa tatu huyo,sijui ndio atakuwa wa mwisho au ataendelea kufunga ndoa nyingine.
Ila dah yataka moyo.