Sir Good JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 1,031 Reaction score 413 Jun 13, 2014 #1 Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Jun 13, 2014 #2 R.I.P Bondia tunaomba picha yake kwa tusiomfaham
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,989 Reaction score 30,184 Jun 13, 2014 #3 Sir Good said: Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin. Click to expand... R. I. P. Ex-boxer
Sir Good said: Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin. Click to expand... R. I. P. Ex-boxer
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,896 Jun 13, 2014 #4 Mkongwe sana au!!!!mgeni huyu sijawahi kumsikia.rip bondia.
angedizzle JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 590 Reaction score 506 Jun 13, 2014 #5 Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea
K Kukamido JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 853 Reaction score 204 Jun 13, 2014 #6 angedizzle said: Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea Click to expand... yaa kabisa mkuu kitambo kile nae alitamba sana
angedizzle said: Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea Click to expand... yaa kabisa mkuu kitambo kile nae alitamba sana
W Wimana JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 2,449 Reaction score 718 Jun 13, 2014 #7 angedizzle said: Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea Click to expand... Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe.
angedizzle said: Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea Click to expand... Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe.
MT255 JF-Expert Member Joined May 3, 2012 Posts 3,728 Reaction score 5,000 Jun 14, 2014 #8 Wimana said: Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe. Click to expand... Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja
Wimana said: Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe. Click to expand... Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja
angedizzle JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 590 Reaction score 506 Jun 14, 2014 #9 MTOTO WA KUKU said: Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja Click to expand... Libondo nae nadhani alishafariki,nimeishi naye mtaa m1 airport
MTOTO WA KUKU said: Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja Click to expand... Libondo nae nadhani alishafariki,nimeishi naye mtaa m1 airport
T Tour De France JF-Expert Member Joined Jun 12, 2014 Posts 345 Reaction score 336 Jun 14, 2014 #10 MTOTO WA KUKU said: Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja Click to expand... Yah Mabesi super ninja!..
MTOTO WA KUKU said: Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja Click to expand... Yah Mabesi super ninja!..