Bro unajua unachoandika au unaendeleza ile tabia yako ya kukurupuka kama uharo?Vikiibuka Vita kati ya Iran dhidi mwingereza pamoja na mfarasa wakiungana bado Iran atawatwanga mchana kweupe
Chukua Ufaransa na mwingereza dhidi ya Iran....Hao mabeberu watachapwa mpaka washangae na roho zao
Hapo hakuna kutumia nyuklia wala silaha za Sumu uone mziki utakavyokua
Kabla hatujajibu swali lako na ww tunaomba utwambie unazungumziaje vile vibanda vya marekani kugeuzwa majivuNdugu hivi unazungumziaje Soleiman i kugeuzwa majivu na yule mwanasayansi wao kugeuzwa vumbi na yanayosemekana kwamba Ni CIA & Mossad unaowapuuza????
Kwamba IRAN hawezi au unataka kusemaje!!?Sasa iran ana teknolojia gani ya kubishana na wazungu. Watu wanaoenda sayari nyingine
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Huyu atakua anaishi dunia ipi? nashauri urudie kupitia ulichoandika halafu uje tenaKwanza Wairan wenyewe hawawezi kukubali hivi vita, ndani ya wiki Maatayallah itakuwa historia, Nusrallah atakuwa mlokole kabisa. Kwa sasa hakuna taifa la kiarabu/kiajemi lillo na ubavu wa kutikisa mataifa makubwa ya kibeberu. Gadaffi walimpa kichwa ila mwisho baada ya kumkamata walimfanya "demu" kwanza.
Hoja yako ni nini?Huyu atakua anaishi dunia ipi? nashauri urudie kupitia ulichoandika halafu uje tena
Irani iichape marekani?Vikiibuka Vita kati ya Iran dhidi mwingereza pamoja na mfarasa wakiungana bado Iran atawatwanga mchana kweupe
Chukua Ufaransa na mwingereza dhidi ya Iran. Hao mabeberu watachapwa mpaka washangae na roho zao
Hapo hakuna kutumia nyuklia wala silaha za Sumu uone mziki utakavyokua
Na niwaambie tu hata Marekani peke yake hawezi kuichapa Iran. Yaani US aende mwenyewe azichape na Iran we subutu litakua battle la muda mrefu ila wamarekani watachapwa mpaka wachanganyikiwe
Acheni na hilo taifa linaloitwa Iran kabisa wale wameshindikana duniani....Mziki wake waulizeni wazayuni huu ni mwaka wa 40 wanatishia nyau tu hawajawahi kutia mguu ndani ya Iran
Siku Israel ataishambulia Iran rensponse ya Iran italeta tetemeko duniani maana sijui atawafanya nini wazayunihiyo nchi ingegeuka majivu meupe kama unga wa dona ndani ya dk 30 tu
Aisee Iran ioneni tu hivi lakini sio ya kuchezewa kabisa
aka kajamaa sijui hua kanapuliza mjani wa Uzebekistan ukoVikiibuka Vita kati ya Iran dhidi mwingereza pamoja na mfarasa wakiungana bado Iran atawatwanga mchana kweupe
Chukua Ufaransa na mwingereza dhidi ya Iran. Hao mabeberu watachapwa mpaka washangae na roho zao
Hapo hakuna kutumia nyuklia wala silaha za Sumu uone mziki utakavyokua
Na niwaambie tu hata Marekani peke yake hawezi kuichapa Iran. Yaani US aende mwenyewe azichape na Iran we subutu litakua battle la muda mrefu ila wamarekani watachapwa mpaka wachanganyikiwe
Acheni na hilo taifa linaloitwa Iran kabisa wale wameshindikana duniani....Mziki wake waulizeni wazayuni huu ni mwaka wa 40 wanatishia nyau tu hawajawahi kutia mguu ndani ya Iran
Siku Israel ataishambulia Iran rensponse ya Iran italeta tetemeko duniani maana sijui atawafanya nini wazayunihiyo nchi ingegeuka majivu meupe kama unga wa dona ndani ya dk 30 tu
Aisee Iran ioneni tu hivi lakini sio ya kuchezewa kabisa
Hivi huu uzi uliandika ukitumia makalio kuwaza au mahaba yalizidi kwa Iran ndio yakuipambanisha na uingereza na ufaransaVikiibuka Vita kati ya Iran dhidi mwingereza pamoja na mfarasa wakiungana bado Iran atawatwanga mchana kweupe
Chukua Ufaransa na mwingereza dhidi ya Iran. Hao mabeberu watachapwa mpaka washangae na roho zao
Hapo hakuna kutumia nyuklia wala silaha za Sumu uone mziki utakavyokua
Na niwaambie tu hata Marekani peke yake hawezi kuichapa Iran. Yaani US aende mwenyewe azichape na Iran we subutu litakua battle la muda mrefu ila wamarekani watachapwa mpaka wachanganyikiwe
Acheni na hilo taifa linaloitwa Iran kabisa wale wameshindikana duniani....Mziki wake waulizeni wazayuni huu ni mwaka wa 40 wanatishia nyau tu hawajawahi kutia mguu ndani ya Iran
Siku Israel ataishambulia Iran rensponse ya Iran italeta tetemeko duniani maana sijui atawafanya nini wazayunihiyo nchi ingegeuka majivu meupe kama unga wa dona ndani ya dk 30 tu
Aisee Iran ioneni tu hivi lakini sio ya kuchezewa kabisa
Waitaliano walipigwa mpaka na wahabesh ndio uwapambanishe na Iran. Italy ni taifa linalojikongoja uchumi wake umeinuliwa na EU mara 2. Italy hamna kitu mbona mnababaika sana na wazungu.Irani iichape marekani?Ndoto za mchana hizi... Kama irani anajiweza akajaribu hata kuichapa tu italia. Sometimes wewe jamaa unakuwaga na akili za ugoro sana.
Nasema hiviii kaijaribuni italia basi kama nyie ni vidume.Waitaliano walipigwa mpaka na wahabesh ndio uwapambanishe na Iran. Italy ni taifa linalojikongoja uchumi wake umeinuliwa na EU mara 2. Italy hamna kitu mbona mnababaika sana na wazungu.
Hata TZ tunawaweza, wana nini cha maana mkuu. Italia ilishafilisika sio ile ya waroma.
Unacho sahau Iran sio Libya au nchi yoyote ya Kiarabu - Iran kitu ingine - binafsi na amini Iran inamiliki hata mabom ya nuklia baada ya wanasayansi wao kushirikiana aidha na wanasayansi wa Korea Kaskazini au Pakistani - Israel ikifanya makosa ya kutumia mabom ya nuklia kuwatishia wa Iran, huo ndio utakwa mwisho wa Israel na ujeuri wao!! Pamoja na mikwara mingi ya Israel kuhusu Iran, Israel haina ubavu wa kuishambulia Iran kwa kutumia conventional warfare ikaishinda Iran kivita - Waisrael watanyukwa kweli wajute kuzaliwa, vita itakuwa mbaya sana kwa upande wa Israel hata kuliko kichapo cha 2006 baina yake na wana mgambo wa Hazibolla wa huko Lebanon, na wala Israel isitegemee kwamba Amerika itaingilia kati kuisadia Israel kama Israel ndiyo itaanzisha vita kati yake na Iran bila baraka za USA.Kwanza Wairan wenyewe hawawezi kukubali hivi vita, ndani ya wiki Maatayallah itakuwa historia, Nusrallah atakuwa mlokole kabisa. Kwa sasa hakuna taifa la kiarabu/kiajemi lillo na ubavu wa kutikisa mataifa makubwa ya kibeberu. Gadaffi walimpa kichwa ila mwisho baada ya kumkamata walimfanya "demu" kwanza.
Unaongea kama vile Israeli hana nuclear, huyu anayo siku nyingi. Hakuna ushahidi kuwa Iran ana silaha za nuclear kwa sasa. Iran hana uwezo wa kuishambulia Israeli kutokea nchini kwake, bali ajiingiza hapo Syria,Lebanon na Palestina ili hata vita ikitokea aweze kutumia "proxy " hizo. Israeli analijua hili fika, ndio maana amekuwa akifanya mashambulizi ya kila mara katika maeneo haya, na pia kumuua Qasim Suleman naamini Israeli alikuwa na uhusika wake pia.Unacho sahau Iran sio Libya au nchi yoyote ya Kiarabu - Iran kitu ingine - binafsi na amini Iran inamiliki hata mabom ya nuklia baada ya wanasayansi wao kushirikiana aidha na wanasayansi wa Korea Kaskazini au Pakistani - Israel ikifanya makosa ya kutumia mabom ya nuklia kuwatishia wa Iran, huo ndio utakwa mwisho wa Israel na ujeuri wao!! Pamoja na mikwara mingi ya Israel kuhusu Iran, Israel haina ubavu wa kuishambulia Iran kwa kutumia conventional warfare ikaishinda Iran kivita - Waisrael watanyukwa kweli wajute kuzaliwa, vita itakuwa mbaya sana kwa upande wa Israel hata kuliko kichapo cha 2006 baina yake na wana mgambo wa Hazibolla wa huko Lebanon, na wala Israel isitegemee kwamba Amerika itaingilia kati kuisadia Israel kama Israel ndiyo itaanzisha vita kati yake na Iran bila baraka za USA.
Ni wapi Israel iliwahi kusema inamiliki mabom ya nuklia?? Je, una ushahidi wa kulithibitisha hilo? Sasa kama Israel hawataki Dunia to know kwamba wanamiliki thermonuclear bombs - wewe unaona ajabu gani Iran kumiliki mabom ya nuklia wakati watu ambao wako mega smart upstairs wana upeo mkubwa wa ku-analyse mambo kwa kina wanajua kwamba Iran ilikuwa inashiriikiana na wana sayansi wa Korea Kasikazini na Pakistan wenye taaluma ya Nuclear Science - wewe unafikiri Iran ilipata wapi taaluma ya kuunda long range maroketi zenye uwezo mkubwa wa kulenga designated target with dead accuracy - sina shaka unakumbuka vizuri kilicho tokea kwenye makambi mawili ya majeshi ya Merikani huko Iraq - mbona air defense systems za Merikani zilishindwa ku-intercept makombora hayo yaliyo vurumishwa kutoka Iran na kufanya uharibifu mkubwa kwenye makambi ya kijeshi - mbona USA haikufanya lolote kujibu mashambulizi, si hilo tu hata Drone ya kipelelezi ya US ilipo tunguliwa kwenye anga la Iran USA haikufanya lolote - leo hii ndio Israel ijifanye inaweza kuingiza ndege zake za kivita na bombers kwenye anga la Iran na kuishambuliaTaifa la Iran?Unaongea kama vile Israeli hana nuclear, huyu anayo siku nyingi. Hakuna ushahidi kuwa Iran ana silaha za nuclear kwa sasa. Iran hana uwezo wa kuishambulia Israeli kutokea nchini kwake, bali ajiingiza hapo Syria,Lebanon na Palestina ili hata vita ikitokea aweze kutumia "proxy " hizo. Israeli analijua hili fika, ndio maana amekuwa akifanya mashambulizi ya kila mara katika maeneo haya, na pia kumuua Qasim Suleman naamini Israeli alikuwa na uhusika wake pia.
Zaidi ya hapo Israeli kanunua ndege za kuweza kuongeza mafuta hewani, bila shaka hizi zina lengo la kuweza kuishambulia Iran kutokea Israeli bila kutua popote.
Katika hatua nyingine, Israeli imeanza kujenga urafiki na majirani wa Iran,hii ni wazi anataka kituo cha kukabiliana na Iran kwa ukaribu.