Sio lazima uelezwe kuwa silaha nzito zikiwa mikononi mwa maghaidi ni tishio kwa usalama wa dunia kwa jumla, haswa wakati huu ambao ulimwengu wa kiarabu imechafuka mno. Urusi naona watabaki peke yao wakipiga domo na ma veto ya umoja wa mataifa kuishtua Marekani. Jinsi kulivyo ni kuwa Iran, imeweza kujiami vilivyo na hilo ni lazima jambo litendeke. Moja ya mataifa ya hapo mashariki ya kati itahesabu hasara hivi karibuni, aidha Syria au Iran, maana hayo ndio mataifa yamebaki bila serikali za majimbo.