hahaha, wanahangaika, wamepigwa njwaa kila siku hela yao inazidi kushuka, matatizo lukuki. vile vikwazo walivyowekewa vimeonekana kufanya kazi barabaraaa ndio maana wakaamua hata kupiga dili na wazenji lakini wapi, wameshtukiwa...watakula nya zao hawa wairan.