Iran ilishambulia moja kwa moja kambi za Marekani nchini Iraq

Hili jamaa jinga sana,watu wanapokea kipigo huko balaa ,lenyewe liko hapa kupiga propaganda.
Iran hana hata ubavu kugusa mambo ya US na izraeli.
Ndo mana yuko kimya.
Hujajistukia kwa uropokaji wako!?
Ushahidi huo unaletwa we unatuimbia twaarab hapa.
Na mna bahati silaha zilizokua zapelekwa Yemen zimezuiliwa kati zingefika habari mngezidi kuipata pale red sea .
 
Nimemtajia mjini ambao ulipigwa kombora kuhusu Iraq kulikuwa na base 505 katika ukaliaji wa mabavu wa Marekani, lakini bunge la Iraq lilikataa matakwa ya Pentagon ya kuweka base 58 "ya kudumu" baada ya kujiondoa mwaka 2011. Vikosi vya Marekani vimechukua base tangu 2014

Lakini sasa hivi wataondoka wenyewe.
 
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท โšก ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Iran sasa inashambulia Makao Makuu ya magaidi ndani ya Pakistan kwa makombora ya balestiki

Makao makuu ya Jaish Ul Adl yalipigwa na kuharibiwa na makombora ya balestiki na drones

Vituo viwili vya kundi la kigaidi la Jaish Ul-Adl huko Balochestan viliharibiwa, ripoti za vifo vikubwa.

t.me/megatron_ron


View: https://x.com/megatron_ron/status/1747312076131868674?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hili jamaa jinga sana,watu wanapokea kipigo huko balaa ,lenyewe liko hapa kupiga propaganda.
Iran hana hata ubavu kugusa mambo ya US na izraeli.
Ndo mana yuko kimya.
Kapime mkojo utakuwa unaujauzito unakufanya uwe na hasira na kichefu chefu,
 
Yani ballistic kama ile uzuie na anti aircraft?
zile missiles hata iron dome zingekuwa 100 isingesaidia.
 

View: https://twitter.com/Osint613/status/1747357866413928789?t=hGVgeKTZxhl5C3Nq7H0Qog&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ