Hizi ni kampeni za vyombo vya habari vya magharibi didhi ya Irani. Huyu mwanamke kosa kubwa la kwanza analoshitakiwa ni kufanya njama na mpenzi wake wa nje na kumuuwa mume wake na kosa la pili ni uzinifu. na sheria ya irani inajulikana ukiuwa nawe una uwawa na ukikutwa na madawa ya kulevya pia unauwawa - hizo ni sheria zao.